Tujuzane: Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote?

Tujuzane: Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote?

Papa bwana asikwambie mtu tena ukiwa mtaaalamu kama mudy[emoji23][emoji23][emoji23]

sent from toyota Allex
 
Maisha ya Masai halisi yanategemea Ng'ombe. Ng'ombe ndio kila kitu kwa Masai. Masai anakula ng'ombe (sio kila siku ni kwa matukio maalum), asali, anakunywa damu ng'ombe, maziwa, nyumba yake inajengwa kwa mavi ya ng'ombe.

Masai hali nyama nyingine zaidi ya ng'ombe, mbuzi na kondoo. Masai hata akiua mnyama pori atampa mbwa au kama kuna mtu wa kabila ingine, hali yeye. Hali kuku wala samaki. Ng'ombe ndio zawadi aliyopewa na Ngai.
hao ni masai wa zamani. wamasai wa sasa hivi wanakula samaki na kichwa chake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Blue fish.
Tiger prawns.

Everyday is Saturday.................... 😎
 
Watu wa kaskazini hatujui aina nyingi za samaki

Mostly tunajua Tilapia, Sangara na Kibua kidogo

Mimi ninawapenda sana Sangara wenye mafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi prawn akiwa mkubwa kama hao tiger sindo anaotwa lobster eeh
Godess... hapana hao ni tofauti, ingawa scientific classification wapo order moja inaitwa Decapods...
Ukisema ulivyosema ni sawa tuseme monkey akiwa mkubwa basi anakuwa gorilla..

Everyday is Saturday.................. 😎
 
Back
Top Bottom