Tujuzane: Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote?

Tujuzane: Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote?

Hakuna samaki mtamu duniani kama samaki aitwae MBASA anapatikana ziwa Nyasa

Kwanza ana mafuta kama kitimoto ,mtamu balaa

Being yake tu kwa kilo sio mchezo kubwa Sana

Na wanapatikana kwa msimu sio kil siku hasa katikati ya mwaka.

Watu wa Kyela,ludewa wananielewa Hapa ndio kwao huko
 
.
IMG-20191023-WA0113.jpeg
 
Mgebuka ni mwisho wa maelezo upate wa kukaanga au wa kupikwa kwa kweli utafurahia
 
Changu wa Nazi na kitu Cha wali Weee acha kbs
Pelege akaushwe na mafuta, weka Chinese ya kijani na ugali laini unasahau shida mchana huo.
 
utamu wa kamongo washinda kabisa utamu wa nyama...harafu cha ajabu kwenye orodha kamongo sijamuona kabisa...!
 
Salam kwenu.

Si mjuzi sana katika nyanja hizi..hivyo naomba kujua

Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote? Mtaje !
1. Changu
2. Sato
3. Kibua
4. Sangara
5. Kambare
6. Perege
7. Migebuka
8. Pweza
9. ________
Jodari/Kingfish mwingine ni Mkunga huyu anakichwa kama cha nyoka, na huwa kichwa hakiliwi kinatupwa alafu ana mafuta sana unaweza kumchoma au kumbanika mtamu sana. Pia ngozi yake inachunwa kwa kisu na maji ya moto
 
Samaki wa ziwa Nyasa ndo watamu kuliko wote kwa Tz,
Jaribu kula mbufu uone raha yake au mbasa
 
Back
Top Bottom