Tujuzane: Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote?

Samaki woote watamu inategemea maandalizi yake tu.
 
Salam kwenu.

Si mjuzi sana katika nyanja hizi..hivyo naomba kujua

Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote? Mtaje !
1. Changu
2. Sato
3. Kibua
4. Sangara
5. Kambare
6. Perege
7. Migebuka
8. Pweza
9. ________
Hujawahi kula Papa mzee dah[emoji119][emoji119]Tamu
 
Salam kwenu.

Si mjuzi sana katika nyanja hizi..hivyo naomba kujua

Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote? Mtaje !
1. Changu
2. Sato
3. Kibua
4. Sangara
5. Kambare
6. Perege
7. Migebuka
8. Pweza
9. ________
Kihalua.
 
sato ndio smaki mtamu kuliko wote
 
Samaki woote watamu inategemea maandalizi yake tu.
Inawezekana mkuu nimejaribu kununua hawa samaki wa aina kadhaa nijue ladha zao wengine wako poa sana hata chukuchuku tu.
 
Salam kwenu.

Si mjuzi sana katika nyanja hizi..hivyo naomba kujua

Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote? Mtaje !
1. Changu
2. Sato
3. Kibua
4. Sangara
5. Kambare
6. Perege
7. Migebuka
8. Pweza
9. ________
Kamongo
 
Back
Top Bottom