Tujuzane: Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote?

Huwa nasikia mgebuka ni mtamu sanaa. Sijawahi kumla nitamuonja siku moja nione.
Ila mgebuka wanasema wenyewe watu wa Kigoma upate yule fresh aliyetoka kwenye maji siyo samaki aliyekaa kwenye mafriji wiki
KIGOMA kuna kuku wa ziwani anaitwa KUHE mtam balaaa ndugu zangu wa kigoma wanajua hili
 
Chura vipi? Nasikia pia mnakula.
 
Mbasa wa ziwa nyassa ambaye amefikisha saizi kubwa km ya kilo nne hivi
 
baadaye nitawaambieni namna ya kupika samaki yenye mafuta na pilipili. tafadhali jaribu jaribu! ni mtamu sanaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…