Tujuzane: Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote?

Mgebuka akipigwa roast ni tamu mno kwa pembeni ugali wa rowe. Full kujilamba yaani.
 
Sato namba 1
Wa pili sangara
Wengine naonaga wachungu wachungu
 
Mbasa ndo mpango mzima anapatikana Ziwa Nyasa
Kuna mbasa,mbelele,na masangalafu achana nayo hasa ukiwapata frsh toka ziwan! Unawasafisha na maji ya ziwani mchemsho wake utavimbiwa
 
mimi huenda sokoni kununua carp au grass-carp...je Watanzania hula carp? ni samaki wa kawaida hapa China. nenda supermarket ya China, huko labda utakuta carp na grass carp.
Mkuu upo china au hapo bongo
 
Salam kwenu.

Si mjuzi sana katika nyanja hizi..hivyo naomba kujua

Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote? Mtaje !
1. Changu
2. Sato
3. Kibua
4. Sangara
5. Kambare
6. Perege
7. Migebuka
8. Pweza
9. ________
Kuhe.
 
1.Sangara 2.Sato 3.Kuna Samaki mmoja niliwahi kula maeneo flani hivi Uvinza tulikuwa tunaita Samaki umeme,na wana umeme kweli maana walikuwa wanawapitisha wakiwa wametolewa ngozi ya nje ambayo ndio inasemekana ina moto......
3. Nyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…