Ing'ang'a
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,866
- 1,282
Ndo Hivo Sasa nenda pale karoge uone hasa kwenye Maduka ya wakinga kana Tata Mura Hurudi hakika Nakwambia.Hahaaaa sio kwa kunichekesha huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo Hivo Sasa nenda pale karoge uone hasa kwenye Maduka ya wakinga kana Tata Mura Hurudi hakika Nakwambia.Hahaaaa sio kwa kunichekesha huku
Nshafika tayariKuna jamaa anaitwa mshana... yeye ni expert wa mambo haya. Msubiri atakuja
*************kama uchawi ungekuwa unalipa tungekuwa nchi amabyo ingeongoza kwa uchumi nadhani ni Nigeria kwa dunia nzima muhimu ni juhudi na maarifa usiamke baada ya wateja kuamka amka kabla ya wateja kuamka , chunga kauri za kufunga biashara yako mfano "mteja anauliza una sabuni ya Ayu ? wewe unamjibu mbona zimeacha kutumika miaka mingi sasa hapo unaua biashara yako.
Mungu tu ndie yupo juu ya yote, usikubali tamaa ikakushika ya kujaribu hayo mengine utajuta.
Mwanzoni nilikuwa naamini kuwa huwezi kufanya biashara bila ya kuwa mchawi....kidogo....
Lakini nikaja nikagundua kuwa uchawi upo mbali sana na biashara ni kama miles 1000000000000000.......
Mafanikio ya mtu kwenye biashara ni kukidhi matakwa ya wateja wako kimahitaji na kauli nzuri.....kuna msemo unasema kuwa kibaya chajitembeza na kizuri kinajiuza huo msemo una mantiki sana....
Kuna kipindi nilikuwa nafanya biashara ya umachinga wa viatu vya kike na vya kiume maeneo ya posta nilikuwa natembeza kama kulikuwa na utulivu basi nilikuwa natafuta sehemu napanga chini....basi siku nikiwa na viatu vizuri ambavyo hata mimi mwenyewe moyoni navikubali....nilikuwa nawahi kurudi nyumbani na tena nauza kwa bei ninayoitaka....maana kitu kizuri kilikuwa kinaita....lakini siku nikichukua viatu ilimradi viatu nilikuwa nakaaa mpaka jioni na sijauza hata kimoja...
Hali hiyo ikanifunza kuwa wateja wanahitaji viatu bora na sio bora viatu kwa hiyo nikawa nachukua viatu vile ambavyo ni bora na vizuri hata kama ni kwa bei ghali kiasi gani na hata kama nikipata pea tatu au nne lakini nilikuwa na uhakika wa kuviuza......
Kikubwa ni kujitahidi kufikia matakwa ya mahitaji ya wateja wako kulingana na biashara yako na ushindani kwenye biashara ni changamoto inayokusuma kwenye ubunifu....ili wateja wazidi kukuona wapekee ni lazima uwe mbunifu.. ...bila ya kusahau kuwa na kauli njema kwa wateja....
Hauhusiki kabisa labda wewe uanze kuuhusisha.Biashara ni kumtafuta mteja na kumfanya adumu baas.Tafuta bidhaa wanazopenda wateja sio unazozipenda wewe.Hata kwenye kazi fanya boss wako anachokipenda na sio unachokitaka au unachokipenda wewe uone mafanikio yake.Yaani hadi hao wanaotumia ndumba ndo wataanza kukuita mchawi.Hata kwenye ndoa wanawake wanaofanya mambo wanaume wao wanayoyapenda hufanikiwa sana wakati wanawake wanaotaka wafanyiwe wanachokitaka ndo hutafuta uchawi.Narudia ukitaka kuperform best please fanya mteja anachokitaka katika biashara uliyopo ndo mwajiri wako huyo.
Wapo waliokuwa wanatumia na hata mimi nilikuwa ni mmoja wapo....lakini pamoja na ndumba siku nikileta mzigo mzuri nauza haraka na kuisha haraka lakini siku ikiwa ni mzigo wa tabu na nikaja na mzigo wa kawaida basi pamoja na majini yote lakini watu wananipita kama hawanioni.....hili nikaichunguza kwa muda mrefu na hata nilipoacha hizo mambo mambo yakawa vile vile yaani mikiwa na mzigo mzuri nauza haraka na kwa bei nzuri na wateja wengine wakawa wananipa oda niwapelekee mahofisini......lakini kama ni mzigo mbaya na hali inakuwa mbaya sana.....Asante hii pointi nzuri maana umepitia humo ko unajua nini kinahitajika katika biasshara asante lakini hebu nikuulize katika biashara hiyo hiyo ya umachinga hukuwahi sikia kuna wenzio wanatumia dumba kabla hujaenda kujumua mzigo wa pili mwenzio kesharudi kujumua zaidi ya mara tatu CHOCHOTE MKONONI MWAKE ANAKIUZA
huyu jamaa atakua ni mtoto wa kishua.kakuta home everthing basi kaenda shule kakalilishwa izo formular na kuona kila kitu posible.ngoja akianza real life ya biashara atayajua haya anayoyapinga.kama asipojisalimisha kanisani basi kwa bi mwenda.hao akina mo sjui bakharesa anaowazungumzia i wish angewajua vizuri kua ni maguli wa haya mambo asingeongea anachoongea.Asante mkuu kidogo kaukakasi kangu katika hili suala kanapungua maana inaumiza unakomaa kuboresha idara zako zote mwisho wa siku mwenye huduma mbovu anauza kukuzidi kisa nguvu za giza thanks
Ndo maana nikasema ukiamua kuuhusisha.Mimi naishi Mbeya na biashara nyingi zinaendeshwa kichawi kiasi kwamba hata huduma kwa wateja hamna.Ila katika kampuni ninayofanya kazi tunatoa huduma nzuri sana na tuna wateja wengi balaa na hakuna ndumba ila mi huwa naangalia mteja anataka nini.Mi ni the best employee sijawahi kanyaga kwa sangoma.Cha msingi hapa ni kumuamini Mungu na kujiamini unachokifanya.Know what you are doing and do it well as well as identifying customer needs.Uchawi upo ila ni kujitia utumwani kusiko na maana.Asante mkuu kidogo kaukakasi kangu katika hili suala kanapungua maana inaumiza unakomaa kuboresha idara zako zote mwisho wa siku mwenye huduma mbovu anauza kukuzidi kisa nguvu za giza thanks
Ndo maana nikasema ukiamua kuuhusisha.Mimi naishi Mbeya na biashara nyingi zinaendeshwa kichawi kiasi kwamba hata huduma kwa wateja hamna.Ila katika kampuni ninayofanya kazi tunatoa huduma nzuri sana na tuna wateja wengi balaa na hakuna ndumba ila mi huwa naangalia mteja anataka nini.Mi ni the best employee sijawahi kanyaga kwa sangoma.Cha msingi hapa ni kumuamini Mungu na kujiamini unachokifanya.Know what you are doing and do it well as well as identifying customer needs.Uchawi upo ila ni kujitia utumwani kusiko na maana.
huyu jamaa atakua ni mtoto wa kishua.kakuta home everthing basi kaenda shule kakalilishwa izo formular na kuona kila kitu posible.ngoja akianza real life ya biashara atayajua haya anayoyapinga.kama asipojisalimisha kanisani basi kwa bi mwenda.hao akina mo sjui bakharesa anaowazungumzia i wish angewajua vizuri kua ni maguli wa haya mambo asingeongea anachoongea.
Siri kubwa ni kupata sehemu sahihi ya biashara na aina gani ya biashara kufanya hiyo location. Siku zote naamini katika biashara hakuna uchawi. Chunga sana matumizi yako uone. Fanya majaribio kwenye biashara za Airtel money, M-pesa, fahari huduma na zingine za kibenk kama utaibiwa Hela kishirikina. Unataka kuanzisha biashara ya kuuza magari uswahili unategemea nini? Wateja hutawapata na utalaumu kuna uchawi. Think critically
Wapo waliokuwa wanatumia na hata mimi nilikuwa ni mmoja wapo....lakini pamoja na ndumba siku nikileta mzigo mzuri nauza haraka na kuisha haraka lakini siku ikiwa ni mzigo wa tabu na nikaja na mzigo wa kawaida basi pamoja na majini yote lakini watu wananipita kama hawanioni.....hili nikaichunguza kwa muda mrefu na hata nilipoacha hizo mambo mambo yakawa vile vile yaani mikiwa na mzigo mzuri nauza haraka na kwa bei nzuri na wateja wengine wakawa wananipa oda niwapelekee mahofisini......lakini kama ni mzigo mbaya na hali inakuwa mbaya sana.....
Kuna viatu nilivinunua kama pea hamsini ambavyo ni vya kawaida ambapo tulikuwa tunasema ni vya kutafutia hela ya kula tu.....huwezi amini ule mzigo ulikaa mpaka nikaugawa kwa ndugu zangu na pia wakati huo ndio nilkuwa nina kama siku mbili tangu nitoke kwa babu kufanya mambo....na ikanilazimu kukopa hela ili ninunue mzigo mwingine....na kweli baada ya kukopa nilichukua mzigo wa ukweli mpaka jamaa zangu pale kijiweni wakawa wananisifia....na ule mzigo ulikuwa kama pea ishirini tu lakini niliuuza wote siku hiyo hiyo....
Ni kama vile ambavyo wewe unapopita kwenye duka la ngo na kwa nje ukavutiwa na shati au fulana kwa uzuri wake na ukavutika kuinunua kwa uzuri wake.....