mkuuu sijakuelewa.Rhapsody's na Wantashi...
As ante mkuuu but kwetu pazuri inafanyiwa matengenezoKWETU PAZURI TABATA
Mkuu nacheki game hapa mega pub then nakuja stk hapo.. nakuja nikupe bia mbili kakanjoo STK mbuyuni kama unakwenda kinyerezi
Hahaha.. Wewe wa mjini kweli?mkuuu sijakuelewa.
Na uwezi kuelewa viwanja vyako si tabata tulia tu ndugu yangu bado haujakuwa mzoefu hukomkuuu sijakuelewa.
Mkuu STK ipo wapi boss's naomba unielekeze vzrnjoo STK mbuyuni kama unakwenda kinyerezi
Mkuu miCasa ipo wapi huwa nasikia tu naomba unielekeze please nasikia hua iko poa sanaNa uwezi kuelewa viwanja vyako si tabata tulia tu ndugu yangu bado haujakuwa mzoefu huko
ukiwa unatokea segerea shuka tabata magengeni then upande huo huo wa kushoto ingia mita chache utaiona kuna njia ambayo inatokezea chang`ombeMkuu miCasa ipo wapi huwa nasikia tu naomba unielekeze please nasikia hua iko poa sana