Tujuzane kiwanja chenye watoto wazuri hapa Dar

Kwanza tenga 20,000 nikufate na gari tujaze wese twende zetu top garage au triple 7 ukakamate watoto wakishua alaf ntakurudisha kwako boss.
Mkuu umekuja na idea mpya now nipo mikasa hapa hapa tabata segerea hebu niambie kwanza hio triple 7 si ile ya mikochini kama unaenda Kawe
 
Bro kondom ziliwekwa za nini

issue is not all about condom brother...the whole issue ya mitungi na mademu is rigged and bold...ni kubwa mno maana haiishii tu kuwa umepiga mtungi ukapata demu anayefuata hela zako ukapiga mzigo basi...issue inaenda mbele...maana the moment umepiga nyama na huyo manzi ujue umeshaingia maagano nae...shida zake ni zako na zako zake zitakufuata siku zote za maisha yako...so kama demu ana umasikini n.k ujue umeshajizolea...so kupunguza risks mi ningekushauri tuliza mzuka na hivyo vijisenti nenda home chill bro chat na jf.
 
Tena za ladha tofauti hahah

yaani na wewe binti unakoleza mada wee utadhani anakulipa...kwanza wewe ni minor ie uko under 18...wajifanya mdada wee kujua yawakubwa na viwanja eeh!?...muonee huruma huyo kaka yako vijisenti vya madafu vinamsumbua atapoteza roho yake usiku wa leo.
 
Khaa under what??? Nimuonee huruma kwani ye hajui anachotafuta na matokeo yake nini?? Muonee huruma wewe afu tusidhalilishane basi kuitana mabinti humu ndani jinsi yangu sjui umeiona wapi adi uniite binti
 
Mkuu yaogope maisha,kibongo bongo hizo unazoziona mill7 ukiziangalia kwa jicho la tatu utaziona kama lak7 na something tu hamna pesa hapo...kwa matumizi ya starehe wala hutomaliza nazo miezi 4 badala ya kutafuta kiwanja chenye watoto wazuri tafuta kiwanja japo cha kujenga police post kitakufaa maishani...pia usisahau kutoa zaka ili ubarikiwe upate tena.ni ushauri tu kaka.
Zaka kwenye pesa ya kamari? Naona mnaanza kumdhiaki Mungu
 
pepo wako anayekutuma mzuri sana, watz mtaishia kufa masikini, umepata hivyo vijisenti vya madafu badala uwaze hata kusaidia yatima kama umeshindwa hata kujisaidia wewe...eti wawaza wapi ukaupate ukimwi ..duh shetan is realy working hard....kila la kheri sheikh!!
Mambo mengine muwe mnaacha kumsingizia shetani bhanaaa.
Eboooooo
 
Khaa under what??? Nimuonee huruma kwani ye hajui anachotafuta na matokeo yake nini?? Muonee huruma wewe afu tusidhalilishane basi kuitana mabinti humu ndani jinsi yangu sjui umeiona wapi adi uniite binti

sasa kukuita kwa jinsia yako na kwa umri wako nakudhalilisha kwa lipi!?....wewe wenyewe hujui unachat na nani ila mimi nakujua kama vile wewe unavyojua alama za viganja vya mikono yako...haya ndo maajabu ya mtandao
 
issue is not all about condom brother...the whole issue ya mitungi na mademu is rigged and bold...ni kubwa mno maana haiishii tu kuwa umepiga mtungi ukapata demu anayefuata hela zako ukapiga mzigo basi...issue inaenda mbele...maana the moment umepiga nyama na huyo manzi ujue umeshaingia maagano nae...shida zake ni zako na zako zake zitakufuata siku zote za maisha yako...so kama demu ana umasikini n.k ujue umeshajizolea...so kupunguza risks mi ningekushauri tuliza mzuka na hivyo vijisenti nenda home chill bro chat na jf.
Maisha hayaendi hivo Mkuu.

Unaoneka bahiri mpaka unajibahiria mwenyewe
 
ajenge yeye strabag??

Mkuu yaogope maisha,kibongo bongo hizo unazoziona mill7 ukiziangalia kwa jicho la tatu utaziona kama lak7 na something tu hamna pesa hapo...kwa matumizi ya starehe wala hutomaliza nazo miezi 4 badala ya kutafuta kiwanja chenye watoto wazuri tafuta kiwanja japo cha kujenga police post kitakufaa maishani...pia usisahau kutoa zaka ili ubarikiwe upate tena.ni ushauri tu kaka.
 
Kwanza tenga 20,000 nikufate na gari tujaze wese twende zetu top garage au triple 7 ukakamate watoto wakishua alaf ntakurudisha kwako boss.
Ukiona unamiliki gari tena kibaby walker, halafu wese mgogoro basi ujuwe unaiga maisha tu.
 
Back
Top Bottom