Tujuzane kiwanja chenye watoto wazuri hapa Dar

Tujuzane kiwanja chenye watoto wazuri hapa Dar

Heee usinichekeshe na budget zako kali ivo!!! Unajuaje kama kiwanja hana au nyumba na vitu vingine iyo kaipata tu ya ziadaila anaonekana mshamba eti eee
Sweet ushamba sio kipimo cha hela mama...kuna washamba wenye hela hawajui kwa kuzitumia
 
Ndugu wanajamvi nimeshinda milioni saba Leo na elfu arobaini wale wazeee WA mikeka mkeka wangu niliweka ile ya 2+


Ndugu zangu nipo now tabata segeraa toroka uje ila hamna watoto ninaotaka .




Unajua Mimi ninapenda kiwanja ambacho mziki unapigwa huku watoto wakike pembeni yako anakata uno.





Hapo bia huwa tamu sana .









Nijuzeni hicho kiwanja niende please nawaalika na wadau wote
Mkuu kama una pesa ndefu,nenda pale Sinza mafichoni panaitwa THE NEW MASHETANI WAZURI PUB,utapata watoto wakali wa ki Seycheles na Mauritius,Comoro na wabongo wa kila type,ni pesa yako tu.
 
Mkuu kama una pesa ndefu,nenda pale Sinza mafichoni panaitwa THE NEW MASHETANI WAZURI PUB,utapata watoto wakali wa ki Seycheles na Mauritius,Comoro na wabongo wa kila type,ni pesa yako tu.
Duh
 
issue is not all about condom brother...the whole issue ya mitungi na mademu is rigged and bold...ni kubwa mno maana haiishii tu kuwa umepiga mtungi ukapata demu anayefuata hela zako ukapiga mzigo basi...issue inaenda mbele...maana the moment umepiga nyama na huyo manzi ujue umeshaingia maagano nae...shida zake ni zako na zako zake zitakufuata siku zote za maisha yako...so kama demu ana umasikini n.k ujue umeshajizolea...so kupunguza risks mi ningekushauri tuliza mzuka na hivyo vijisenti nenda home chill bro chat na jf.
Mkuu wangu hayo umeyatoa wapi?

Watu wengine tumetenbea na wanawake wengi wenye pesa, masikini, wenye matatizo nk nk..

Nadhani hakuna uhalisia katika hayo mkuu, ukishakula nyama na manzi imetoka hakuna cha maagano wala nini.

Ingekua hivyo watu wengine tungekua hata tushakufa.
 
Mtu anaomba aelekezwe wapi akatumie ... mijitu inadhani kila mtu ndio anaanza maisha kama wao.
 
Khaa under what??? Nimuonee huruma kwani ye hajui anachotafuta na matokeo yake nini?? Muonee huruma wewe afu tusidhalilishane basi kuitana mabinti humu ndani jinsi yangu sjui umeiona wapi adi uniite binti
Umenichekeshajeee leo mkui
 
Back
Top Bottom