Tujuzane kiwanja chenye watoto wazuri hapa Dar

Hii Tanzania ya viwanda na hawa wazinzi!!!! tutafika kweli!!!! kijana amepata 7m badala akanunue kiwanja anawaza uzinzi tu.
 
Nyani ngabu amekupa viwanja vya kutumia bado unaangaika na tabata
1. Wantashi ipo karibu na element/samaki samaki/maisha club/kilima nyege oysterbay

2. Rhapsody iko viva tower/smooth/ oppsite na NMB HQ
Atavielewa wapi ye ujanja wake umeishia tabata segerea
 
Toa laki tatu hapo kafanye vurugu zote .......zilizobaki kafanye mambo ya msingi
 
pepo wako anayekutuma mzuri sana, watz mtaishia kufa masikini, umepata hivyo vijisenti vya madafu badala uwaze hata kusaidia yatima kama umeshindwa hata kujisaidia wewe...eti wawaza wapi ukaupate ukimwi ..duh shetan is realy working hard....kila la kheri sheikh!!
 
Hii Tanzania ya viwanda na hawa wazinzi!!!! tutafika kweli!!!! kijana amepata 7m badala akanunue kiwanja anawaza uzinzi tu.
Heee usinichekeshe na budget zako kali ivo!!! Unajuaje kama kiwanja hana au nyumba na vitu vingine iyo kaipata tu ya ziadaila anaonekana mshamba eti eee
 
Bro kondom ziliwekwa za nini
 
Kwanza tenga 20,000 nikufate na gari tujaze wese twende zetu top garage au triple 7 ukakamate watoto wakishua alaf ntakurudisha kwako boss.
 
njoo nikusindikize wantashi
 
Kwanza tenga 20,000 nikufate na gari tujaze wese twende zetu top garage au triple 7 ukakamate watoto wakishua alaf ntakurudisha kwako boss.
Hivi yeye anatafuta watoto wa kike au usafiri??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…