Mkuu umekuja na idea mpya now nipo mikasa hapa hapa tabata segerea hebu niambie kwanza hio triple 7 si ile ya mikochini kama unaenda KaweKwanza tenga 20,000 nikufate na gari tujaze wese twende zetu top garage au triple 7 ukakamate watoto wakishua alaf ntakurudisha kwako boss.
Bro kondom ziliwekwa za nini
La mkosaji mkuuuu katafute kwanza yako muone sura kama kiazi.Ubakize ya sanda mkuu tusijechangishwa ilihali ulitumia pesa kununua kifo.
Tena za ladha tofauti hahah
Hizo saba zinakupa wazimu mimi nalipia mtoto ada wa miaka saba bwana mdogo.La mkosaji mkuuuu katafute kwanza yako muone sura kama kiazi.
Khaa under what??? Nimuonee huruma kwani ye hajui anachotafuta na matokeo yake nini?? Muonee huruma wewe afu tusidhalilishane basi kuitana mabinti humu ndani jinsi yangu sjui umeiona wapi adi uniite bintiyaani na wewe binti unakoleza mada wee utadhani anakulipa...kwanza wewe ni minor ie uko under 18...wajifanya mdada wee kujua yawakubwa na viwanja eeh!?...muonee huruma huyo kaka yako vijisenti vya madafu vinamsumbua atapoteza roho yake usiku wa leo.
Zaka kwenye pesa ya kamari? Naona mnaanza kumdhiaki MunguMkuu yaogope maisha,kibongo bongo hizo unazoziona mill7 ukiziangalia kwa jicho la tatu utaziona kama lak7 na something tu hamna pesa hapo...kwa matumizi ya starehe wala hutomaliza nazo miezi 4 badala ya kutafuta kiwanja chenye watoto wazuri tafuta kiwanja japo cha kujenga police post kitakufaa maishani...pia usisahau kutoa zaka ili ubarikiwe upate tena.ni ushauri tu kaka.
Saa nyingine wanywa bia washamba kwelikweli, hivi hapo STK huwa mnavutiwa na kipi hasa?njoo STK mbuyuni kama unakwenda kinyerezi
Hio ada Mimi hainihusu lipia ata kijiji chenu kizimaHizo saba zinakupa wazimu mimi nalipia mtoto ada wa miaka saba bwana mdogo.
Mambo mengine muwe mnaacha kumsingizia shetani bhanaaa.pepo wako anayekutuma mzuri sana, watz mtaishia kufa masikini, umepata hivyo vijisenti vya madafu badala uwaze hata kusaidia yatima kama umeshindwa hata kujisaidia wewe...eti wawaza wapi ukaupate ukimwi ..duh shetan is realy working hard....kila la kheri sheikh!!
Khaa under what??? Nimuonee huruma kwani ye hajui anachotafuta na matokeo yake nini?? Muonee huruma wewe afu tusidhalilishane basi kuitana mabinti humu ndani jinsi yangu sjui umeiona wapi adi uniite binti
Milioni saba pesa ya kutangaza wewe, acha ujinga unajitia aibu!! Unasubutu kukomaa kisa milioni saba!!Hio ada Mimi hainihusu lipia ata kijiji chenu kizima
Maisha hayaendi hivo Mkuu.issue is not all about condom brother...the whole issue ya mitungi na mademu is rigged and bold...ni kubwa mno maana haiishii tu kuwa umepiga mtungi ukapata demu anayefuata hela zako ukapiga mzigo basi...issue inaenda mbele...maana the moment umepiga nyama na huyo manzi ujue umeshaingia maagano nae...shida zake ni zako na zako zake zitakufuata siku zote za maisha yako...so kama demu ana umasikini n.k ujue umeshajizolea...so kupunguza risks mi ningekushauri tuliza mzuka na hivyo vijisenti nenda home chill bro chat na jf.
msomso vipi Mkuu uko wapi mida hii?Hio ada Mimi hainihusu lipia ata kijiji chenu kizima
Mkuu yaogope maisha,kibongo bongo hizo unazoziona mill7 ukiziangalia kwa jicho la tatu utaziona kama lak7 na something tu hamna pesa hapo...kwa matumizi ya starehe wala hutomaliza nazo miezi 4 badala ya kutafuta kiwanja chenye watoto wazuri tafuta kiwanja japo cha kujenga police post kitakufaa maishani...pia usisahau kutoa zaka ili ubarikiwe upate tena.ni ushauri tu kaka.
Ukiona unamiliki gari tena kibaby walker, halafu wese mgogoro basi ujuwe unaiga maisha tu.Kwanza tenga 20,000 nikufate na gari tujaze wese twende zetu top garage au triple 7 ukakamate watoto wakishua alaf ntakurudisha kwako boss.