Nipo tabata mikasa nakula biamsomso vipi Mkuu uko wapi mida hii?
Sweet ushamba sio kipimo cha hela mama...kuna washamba wenye hela hawajui kwa kuzitumiaHeee usinichekeshe na budget zako kali ivo!!! Unajuaje kama kiwanja hana au nyumba na vitu vingine iyo kaipata tu ya ziadaila anaonekana mshamba eti eee
Mkuu kama una pesa ndefu,nenda pale Sinza mafichoni panaitwa THE NEW MASHETANI WAZURI PUB,utapata watoto wakali wa ki Seycheles na Mauritius,Comoro na wabongo wa kila type,ni pesa yako tu.Ndugu wanajamvi nimeshinda milioni saba Leo na elfu arobaini wale wazeee WA mikeka mkeka wangu niliweka ile ya 2+
Ndugu zangu nipo now tabata segeraa toroka uje ila hamna watoto ninaotaka .
Unajua Mimi ninapenda kiwanja ambacho mziki unapigwa huku watoto wakike pembeni yako anakata uno.
Hapo bia huwa tamu sana .
Nijuzeni hicho kiwanja niende please nawaalika na wadau wote
Ndio wapi mkuu?Rhapsody's na Wantashi...
DuhMkuu kama una pesa ndefu,nenda pale Sinza mafichoni panaitwa THE NEW MASHETANI WAZURI PUB,utapata watoto wakali wa ki Seycheles na Mauritius,Comoro na wabongo wa kila type,ni pesa yako tu.
Si ndo nkasema ila anaonekana mshamba ee?Sweet ushamba sio kipimo cha hela mama...kuna washamba wenye hela hawajui kwa kuzitumia
Mkuu wangu hayo umeyatoa wapi?issue is not all about condom brother...the whole issue ya mitungi na mademu is rigged and bold...ni kubwa mno maana haiishii tu kuwa umepiga mtungi ukapata demu anayefuata hela zako ukapiga mzigo basi...issue inaenda mbele...maana the moment umepiga nyama na huyo manzi ujue umeshaingia maagano nae...shida zake ni zako na zako zake zitakufuata siku zote za maisha yako...so kama demu ana umasikini n.k ujue umeshajizolea...so kupunguza risks mi ningekushauri tuliza mzuka na hivyo vijisenti nenda home chill bro chat na jf.
Rhapsody's ipo Viva Tower red cross pale ...... Wantashi ipo masaki. huo mtaa zimepangana.....wantashi...elements....samaki samaki....club next doorNdio wapi mkuu?
Umenichekeshajeee leo mkuiKhaa under what??? Nimuonee huruma kwani ye hajui anachotafuta na matokeo yake nini?? Muonee huruma wewe afu tusidhalilishane basi kuitana mabinti humu ndani jinsi yangu sjui umeiona wapi adi uniite binti