Kinondoni Biafra - JumamosiNitaomba kusahihishwa kama sitakuwa sawa.
Jumanne boko kalfonia, alhamisi bunju b sokoni, pia kuna mnada wa zinga bagamoyo, kuna salasala ama mbuyuni dar.
Nimeuza sana bidhaa hapo.Morogoro Kikundi na Sababa...Hi minada kwa wale wana chuo wasio na ajira basa ni suluhisho lao
Mbali, umeshacalculate gharama za usafiri? Minada ni kama bilishi, kabila zote zipo mkoa wa simiyu. Kipindi hiki cha mavuno watu wengi huuza mazao yao ya kilimo ili waweze kupata hela ya mahitaji mengine kama vile nguo na vitu vingine. Ni minada mikubwa tu, changamoto kwako itakuwa gharama za usafiri kufika huku.Yes mkuu taja .
Umepatia mkuu salasala ni jumapili na bagamoyo ni jumatatu alafu ijumaa kunduchi mtongani na jumatano ni tabata alafu jumamosi tegeta kibaoni (mcanada)Nitaomba kusahihishwa kama sitakuwa sawa. Jumanne boko kalfonia, alhamisi Bunju B Sokoni, pia kuna mnada wa zinga bagamoyo, kuna salasala ama mbuyuni Dar.
Nimeuza sana bidhaa hapo.