Tujuzane maneno sahihi ya Kiswahili...

Tujuzane maneno sahihi ya Kiswahili...

Ipi sahihi:
1. Kufariki au kufariki dunia?
Nahisi sahihi ni kufariki vinginevyo iwe kuaga dunia.
2. Kulala usingizi.
Nadhani kulala si lazima kuwa na usingizi.
Aliyelala akapata usingizi tuseme amesinzia.
ulipohisi nimehisi hivyohivyo na ulipodhani nimedhani hivyohivyo!
 
Kiswahili kumbe kigumu hapa nishaanza kuona nyotanyota...🤣🤣
 
Moja ya kitu, Kati ya kitu, miongoni mwa jambo[emoji3582]
Moja ya vitu, kati ya vitu, miongoni mwa mambo [emoji3581]

Siku yeyote[emoji3582]
Siku yoyote[emoji3581]
Mtu yeyote [emoji3581]

Kuanzia asubuhi mbaka jioni[emoji3582]
Kuanzia asubuhi mpaka jioni [emoji3581]

Hasubuhi, hutukufu, hamrisha[emoji3582]
Asubuhi, utukufu, amrisha[emoji3581]
 
Back
Top Bottom