RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,878
- 5,432
Wana Jamvi karibuni tena Katika Mada pendwa Za Ulimwengu wa Kiroho.. leo Ningependa tupeane Mbinu za Hawa Watu wenye Wivu aka Wachawi mana Hawana Faida Yeyote ile zaidi ya Kukuonea Wivu na Kukuloga...
Mungu ametupa Mimea Na Akili za Kupambana Na mambo ya Kiovu tuziweke hapa na nyingine tupeane Ambazo Hatuzijui wengine..
Mie baadhi ni Hizi hapa na Wazee pamoja na Vijana Wengine mlio humu mtaongezea
1. Mvishe Mwanao Ndala mara kwa mara hasa anapoanza Kutembea ,wachaw wengi wanapenda Kutumia Nyayo za Miguu kulogea hasa mtoto anapokuwa Peku anatembea Kwenye Mchanga Anaacha Nyayo zake ,mchawi akichukua Ule mchanga tegemea Mabalaa kwa mtoto wako
2. Uchawi wa Shilingi.. Usipende kutoa Hela ndogo ndogo hasa kwa Wale Ndugu au watu wa karibu na majirani wanaopenda kuomba Mia mia au mia mbili za Maji.. Si mbaya kumpa Hela Ila jaribu kumpa Hela Ya Noti kama Mia tano ya noti au Buku au mwambie Huna . Wengi wanatumia Shilingi hizo kushusha Nyota ya Mafanikio ya Mtu kwa Kuinenea kuwa Mafanikio yako yawe na Dhamni ndogo sawa na Pesa uliyompa
Mengine Unaweza Kuongezea wanaJF