Tujuzane mbinu za kichawi na namna ya kuziepuka

Tujuzane mbinu za kichawi na namna ya kuziepuka

DAMU YA YESU PEKEE ndo kila kitu itumie hiyo kwenye maisha yako kwa maombi hutajuta kamwe milele.
Mganga wa kweli ni MUNGU tunguri na hirizi ni urembo tu
Naona Wakuu Hamjamuelewa... Kuna Mimea na Mbinu za Asili ambazo Mungu ameziweka Kupambana na Hawa Viumbe waovu kwahiyo huko pia ni Kutumia Nguvu za Mungu

Hata Yesu Alitumia Tope akampaka Kipofu machoni Baadae akaona. Unahisi alishindwa kumwambia Tu ona
 
Huu ni ujinga wa kiwango cha fly over yaani mpaka Leo mnawaza uchawi kweli alicho sema yesu mpumbavu huamiamini kila kitu hii ndio tz ya viwanda tunayoitaka.
 
Back
Top Bottom