Tujuzane mbinu za kichawi na namna ya kuziepuka

KUEPUKA UCHAWI NI KUJENGA IMANI HAULOGEKI NA KUAMINI YESU KRISTO
 
Wana Jamvi karibuni tena Katika Mada pendwa Za Ulimwengu wa Kiroho.. leo Ningependa tupeane Mbinu za Hawa Watu wenye Wivu aka Wachawi mana Hawana Faida Yeyote ile zaidi ya Kukuonea Wivu na Kukuloga...
Mbinu ya kupambana na wachawi ni kuzishika Amri za MUNGU na kulitii NENO lake na maagizo yake yote. Ukiwa karibu na MUNGU na yeye atakuwa karibu na wewe. Tena ukiona Wachawi wanakusumbua, funga kula huku ukiomba na kusali, lakini kwanza kumbuka kuzishika Amri za MUNGU na kuacha uovu wako wote.

Kumbuka wale wote wanaompenda MUNGU, na yeye huwapenda na kuwalinda. YESU KRISTO ni jibu la maisha yako!
 
Mshana naomba udadavu katika hili LA chumvi na saumu
Unaweka kwenye maji ya kuogea au unaweka kwenye maji na kunyunyiza kuzunguka makazi ndani na hata nje
 
Chemsha mizizi ya mimea zaidi ya 30 then changanya na chumvi ,mchawi hakugusi wala kukunusa
 

jifunze kwenda ku boost power bank yako aka ilizi pale unapotaka kuendana na hali ya hapa kazi tu.
jifunze kula kitimoto mara moja kwa wiki usisahau vitu ambavyo wachawi hawapatani navyo pombe na bangi.
jifunze kuwa na mbwembwe kama wao ili wajue na wewe kumbe humo kwenye uchawi
 
m naweza ongea kidogo kuhusu no. 2 ...mwaka 2010 nlirud likizo home.. ....baba ..alinambia naomba usijaribu kumpa mtu pesa ya sarafu (utaumia watu ss hv sio wazuri)...mpe noti kama huna mnyime usimpe........it happened siku moja nikakutana na mwanamke ana mtoto mdogo akanifuata akanambia ana shida anaomba nimsaidie tshs. 200 ....mi nikatoa noti ya 500 nikampa .....alikataa kupokea ile noti akanambia ye ana shida na 200.....nikaikumbuka ile kauli ya mzee wangu
 
Huu ni ujinga wa kiwango cha fly over yaani mpaka Leo mnawaza uchawi kweli alicho sema yesu mpumbavu huamiamini kila kitu hii ndio tz ya viwanda tunayoitaka.
Yesu yupi??
Wa roma au israel maan nanyie ni balaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…