Tujuzane Mbinu za wafalme na Marais wanazotumia kuomba gemu kwa Pisikali

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Haya mambo hayana ukubwa!

Kichwa kidogo kikisimama, cha juu kinasanda!
Wadau, naomba kujuzwa!

Ni namna gani marais na wafalme huomba gemu?

Ikumbukwe raha ya hizo mambo huwa tamu kwa wahusika ikiwa zinafanyika faragha na kwa siri baina ya muombaji na muombwaji!

Sasa kwa mazingira ya mitutu na bunduki na wapambe; Mfalme au Rais huanza anzaje kumsoundisha demu akolee kama siye wakora tunavyotomasa huku kitaa?

Je; Demu anaweza kuchomoa? Na akichomoa usalama wake na mpenzi wake ukoje?

Yes! Wakati mwingine mwanamke anaweza kuwa ni mgonjwa sehem za siri akawa hataki kuingiliwa na mwanaume maishani, au mwanamke anaweza kuwa mwaminifu kwenye ndoa yake akamchomolea kuchepka na Rais, wakati mwingine pia mwanamke anaweza hofia afya yake kuambukizwa maradhi na Rais hivyo demu ana haki ya kukataaa.

Je; ni mbinu gani Rais hutumia kuomba gemu kwa pisi Kali?
 
Mtu kishakuwa raisi mambo mengine anaweka pembeni.yaani ni ngumu sana kuwa na mahusiano na mwanamke mpya. Labda kama alikuwa na mchepuko wake kabla ya cheo hicho anaweza kuwasiliana nae ingawa kwa siri sana na mara nyingi kupitia kwa mlinzi wake wa karibu anaemwamini.

Lazima ahofie usalama wake, uaminifu unakuwa ni O kwa mwanamke mpya.bora wa zamani alomzoea ka gap kanaweza patikana.

Hawa watu wanaishi maisha magumu.hicho cheo ni kama utumwa. Mara nyingi lazima awasilikize walinzi wake.
Afu hawa watu wako busy sana hizo hamu za mara kwa mara zitoke wapi? Nchi nzima majibu atowe yeye ni ngumu
Hawa watu ni kuwaombea tu sometimes.😊😊
 
Mtu kishakuwa raisi mambo mengine anaweka pembeni.yaani ni ngumu sana kuwa na mahusiano na mwanamke mpya. Labda kama alikuwa na mchepuko wake kabla ya cheo hicho anaweza kuwasiliana nae ingawa kwa siri sana na mara nyingi kupitia kwa mlinzi wake wa karibu anaemwamini.

Lazima ahofie usalama wake, uaminifu unakuwa ni O kwa mwanamke mpya.bora wa zamani alomzoea ka gap kanaweza patikana.

Hawa watu wanaishi maisha magumu.hicho cheo ni kama utumwa. Mara nyingi lazima awasilikize walinzi wake.

Hawa watu ni kuwaombea tu sometimes.😊😊
Oooh kwahiyo kuchepuka ni ngumu
 
Mtu kishakuwa raisi mambo mengine anaweka pembeni.yaani ni ngumu sana kuwa na mahusiano na mwanamke mpya. Labda kama alikuwa na mchepuko wake kabla ya cheo hicho anaweza kuwasiliana nae ingawa kwa siri sana na mara nyingi kupitia kwa mlinzi wake wa karibu anaemwamini.

Lazima ahofie usalama wake, uaminifu unakuwa ni O kwa mwanamke mpya.bora wa zamani alomzoea ka gap kanaweza patikana.

Hawa watu wanaishi maisha magumu.hicho cheo ni kama utumwa. Mara nyingi lazima awasilikize walinzi wake.

Hawa watu ni kuwaombea tu sometimes.[emoji4][emoji4]
Labda raisi wa hukooo
 
Haya mambo hayana ukubwa!

Kichwa kidogo kikisimama, cha juu kinasanda!
Wasadau, naomba kujuzwa!

Ni namna gani marais na wafalme huomba gemu?

Ikumbukwe raha ya hizo mambo huwa tamu kwa wahusika ikiwa zinafanyika faragha na kwa siri baina ya muombaji na muombwaji!

Sasa kwa mazingira ya mitutu na bunduki na wapambe; Mfalme au Rais huanza anzaje kumsoundisha demu akolee kama siye wakora tunavyotomasa huku kitaa?

Je; Demu anaweza kuchomoa? Na akichomoa usalama wake na mpenzi wake ukoje?

Yes! Wakati mwingine mwanamke anaweza kuwa ni mgonjwa sehem za siri akawa hataki kuingiliwa na mwanaume maishani, au mwanamke anaweza kuwa mwaminifu kwenye ndoa yake akamchomolea kuchepka na Rais, wakati mwingine pia mwanamke anaweza hofia afya yake kuambukizwa maradhi na Rais hivyo demu ana haki ya kukataaa.

Je; ni mbinu gani Rais hutumia kuomba gemu kwa pisi Kali?
Muulize memba mwenzetu Mzigua90 akupe uzoefu wakati wa JK
 
Back
Top Bottom