torvic
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 3,978
- 9,841
JamiiForums is the best for me
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo kwenye reddit nimekuelewaLinkedIn, lifehack, alltop na reddit
mmi nashangaa watu...hawatumii tele kwa nin?huo mtandao noma ....sana....kama unajua habari ya bots utanielewaTelegram
Yaani telegram naupenda but si enjoy Sana hakuna mtu wa kucjat nae kila mtu yuko WhatsAppmmi nashangaa watu...hawatumii tele kwa nin?huo mtandao noma ....sana....kama unajua habari ya bots utanielewa
Unajua kuwa vine imekufa![]()
Best social networks of ol ze time.. Twitter, Vine nyingine zote tupa kule..
Wengine wanatoa Nairaland wanaleta huku.kuna iyo yahoo answers ..kuna thread zingine zinatokaga kule mtu anaitafsiri tu analeta huku