Tujuzane mitandao mingine ya kijamii

Tujuzane mitandao mingine ya kijamii

mmi nashangaa watu...hawatumii tele kwa nin?huo mtandao noma ....sana....kama unajua habari ya bots utanielewa
Yaani telegram naupenda but si enjoy Sana hakuna mtu wa kucjat nae kila mtu yuko WhatsApp
 
kuna iyo yahoo answers ..kuna thread zingine zinatokaga kule mtu anaitafsiri tu analeta huku
 
161027144921-why-vine-failed-780x439.jpg

Best social networks of ol ze time.. Twitter, Vine nyingine zote tupa kule..
Unajua kuwa vine imekufa
 
..Linkedln
..youtube
..pinterest
..tumblr
..flikr
..reddit
..snapchat
..bizsugar
Ipo mengi tu iyo mitandao ndo baadh yao
 
wechat - hii marafiki si wale walio kwenye majina ya simu tu pia unaweza search wanao tumia wechat kwenye eneo lililo kuzunguka na kuwaongeza kwenye list ya marafiki wako.
Plus kwenye profile unaweza weka picha zaidi ya moja
Pia unaweza share picha kama instagram
 
Back
Top Bottom