Tujuzane na kushauriana ipi gesi bora kwa matumizi ya nyumbani

Tujuzane na kushauriana ipi gesi bora kwa matumizi ya nyumbani

Kama huelelewi kaa kimya. Ww unaechukulia positive mwambie sasa gesi gani inakaa sana
Mara nyingi watu wenye hulka kama hizi za kuchukulia mambo kwa upande wa hasi tu wanakuaga na matatizo ya stress za kimaisha
Yaani wao kila kitu wanaona ujinga na taabu tu

Yaani mjadala elimu safi we unaona watu wanajadili upuuzi tu
 
Mi natumia oryx kg15
Tatizo langu ni kile kichwa kinachotoa moto regulator
Yaani kila nikibadili mtungi na kichwa kinaacha kuwaka, kinakua kinatoa gasi inapuliza lakini ukiwasha haiwaki
Tatizo itakua nakosea wapi? Na huwa naifungua kwa umakini lakini wapi
pole unatumia kiberiti cha kawaida tu, (flame)
ile hewa inayotoka ikipata flame inawaka jaribu kukisafisha hicho kichwa kwanza hasa kwenye yale matundu kwa brush wire na sabuni kikauka washa tena.
au nunua kingine hakivuki 10,000/
 
Broo suala la gesi kuisha ni mtambuka. Kama ww una jibu mtajie iyo brand ambayo haiishi. Mtu kununua mtungi ambao haujajaa ni upumbavu wake
Nadhani wewe ndio kati ya watu ambao hujaelewa swali, ni hivi wanaouza mitungi ya gesi walio wengi hawajatuwekea mzani kwa ajili ya kupima kujiridhisha kama imejaa au la, sasa kwanini inaisha haraka huenda kuna majibu kama mangapi hivi mfano kutojaa kwa mtungi kama unavyotakiwa, au kuna lickage, au au matumizi ndio yanayo sababisha iishe haraka lakini kwa matumizi fananishi kwanini tunatofautiana.
 
Hapo ndo linakuja suala la marketing. Ila gesi ni moja. Suala la ku8sha haraka halina majibu hata siku moja
Acha watu wajadili naona wewe huioni tofauti hata ya bei na ubora ingawa uzito upo sawa
MIHAN ni bora na bei ya kueleweka
tumia Mihan
 
Kile kichwa kinaitwa Burner, reguleta ni kile kifaa kinachoruhusu gas kutoka kwenye mtungi mkubwa kwenda kwenye jiko la plate.

Kwa case yako unapobadilisha mtungi wako unachotakiwa kufanya ni kupunguza presha ya gas kwenye mtungi.

Tafuta kijiti au kiplastic bonyeza kwenye gololi ya mtungi gas itoke nje, bonyeza mara 2 au tatu ndio kupunguza presha huko. Zoezi hilo lifanyie nje kwenye hewa ya kutosha na sio ndani.

Baada ya hapo funga burner yako fungua gas washa. Haitasumbua tena kuwaka

Sent using Fly in any Weather.
Noted mkuu
 
Kama huelelewi kaa kimya. Ww unaechukulia positive mwambie sasa gesi gani inakaa sana
Ujinga ni kudhani kila mtu anajua kama unavyo jua wewe

Haihitaji digirii kujua anayeuliza kitu maana yake hajui
Sasa badala ya kumjulisha unaanza dharau na kuona watu wanaojadili wajinga

Hivi ninyi watu mpoje lakini

Hata mimi nilikua sijui haya yote lakini sasa nimejua kumbe gass ni ileile isipokua vifaa kama majiko mipira nk vinaweza kisaidia kupunguza ulaji wa gass
 
Hapo ndo linakuja suala la marketing. Ila gesi ni moja. Suala la ku8sha haraka halina majibu hata siku moja
Broo suala la gesi kuisha ni mtambuka. Kama ww una jibu mtajie iyo brand ambayo haiishi. Mtu kununua mtungi ambao haujajaa ni upumbavu wake
Sasa COROMA imeingia vichwani mwa watu,
mara brand gani mara kuisha
Corona itaisha yenyewe tunazungumzia gas LPG
 
Inategemea na matumizi ya mtu, mimi naishi peke yangu nilinunua kg 30 ya oryx tarehe 15 october mwaka jana, natumia gas kwa kila kitu imeisha tarehe 23 mwezi wa nne.
kwa hiyo matumizi ya gas yana matter sana kama unapka sana itaisha mapema pia regulator na aina ya jiko mfano langu linakula 30g/hr wakati majiko meng ni 120g/hr
unatumia jiko gan mkuu
 
Back
Top Bottom