Tujuzane na kushauriana ipi gesi bora kwa matumizi ya nyumbani

Hii mada imekaa kipuuzi sana. Na pia nashangaa sijui kwann watu wanaichangia kwa kutoa majibu ya moja kwa moja wakati justificatins ni nyingi

Gesi inaisha kutokana na matumizi yako na ufanisi ( Efficiency) ya miundombinu yako kama jiko (Burner), regulator na pipe fittings.

Ila gesi yote ni moja tuu. Kila kampuni inanunia in bulk ( Kwa jumla) na kuiweka kwenye container (Mitungi) na kuuza rejareja.

Sasa ww unataka gesi amabayo haiishi haraka sijui tukujibuje, unadhani gesi za LPG ni kama Kuni ?
 
Gesi ni moja tu, ishu ni ujazo na matumizi yako tu.
 
Oryx inaisha mapema sana halafu inatoa harufu sana ukiiwasha
Tuko pamoja nikiwasha kabla sijawasha jiko nasikia harufu ndio huwa najiuliza hii nini na kwa nini nilikuwa nafikiri huenda kile kizipo labda ndio kinavujisha gesi sijapata jibu hadi sasa
 
Nadhani wewe ndio kati ya watu ambao hujaelewa swali, ni hivi wanaouza mitungi ya gesi walio wengi hawajatuwekea mzani kwa ajili ya kupima kujiridhisha kama imejaa au la, sasa kwanini inaisha haraka huenda kuna majibu kama mangapi hivi mfano kutojaa kwa mtungi kama unavyotakiwa, au kuna lickage, au au matumizi ndio yanayo sababisha iishe haraka lakini kwa matumizi fananishi kwanini tunatofautiana.
Hii mada imekaa kipuuzi sana. Na pia nashangaa sijui kwann watu wanaichangia kwa kutoa majibu ya moja kwa moja wakati justificatins ni nyingi

Gesi inaisha kutokana na matumizi yako na ufanisi ( Efficiency) ya miundombinu yako kama jiko (Burner), regulator na pipe fittings.

Ila gesi yote ni moja tuu. Kila kampuni inanunia in bulk ( Kwa jumla) na kuiweka kwenye container (Mitungi) na kuuza rejareja.

Sasa ww unataka gesi amabayo haiishi haraka sijui tukujibuje, unadhani gesi za LPG ni kama Kuni ?
 
Hii mada imekaa kipuuzi sana. Na pia nashangaa sijui kwann watu wanaichangia kwa kutoa majibu ya moja kwa moja wakati justificatins ni nyingi

Gesi inaisha kutokana na matumizi yako na ufanisi ( Efficiency) ya miundombinu yako kama jiko (Burner), regulator na pipe fittings.

Ila gesi yote ni moja tuu. Kila kampuni inanunia in bulk ( Kwa jumla) na kuiweka kwenye container (Mitungi) na kuuza rejareja.

Sasa ww unataka gesi amabayo haiishi haraka sijui tukujibuje, unadhani gesi za LPG ni kama Kuni ?
Acha watu wajadili naona wewe huioni tofauti hata ya bei na ubora ingawa uzito upo sawa
MIHAN ni bora na bei ya kueleweka
tumia Mihan
 
ni vzr kabla hujanunua kupima uzito, SUALA LA GAS KUISHA MAPEMA BINAFSI NIKUSHAULI KUANGALIA JIKO LAKO NI LA AINA IPI , AMA PIA ANGALIA PIPE NA REGULATOR KAMA ZIMEFUNGWA VZR. ILA HUKO USHWAHILINI KUNA KAMCHEZO KANAFANYIKA KWA BAADHI YA WAUZAJI HIYO MITUNGI HUICHUKUA NA KUITUMIA KISHA KUIREJESHA SOKONI KUBWA NI KUAMBALIA KABLA HUJANUNUA IWE NA SEAL, LKN PIA PIMA UZITO.
 
Mi natumia oryx kg15
Tatizo langu ni kile kichwa kinachotoa moto regulator
Yaani kila nikibadili mtungi na kichwa kinaacha kuwaka, kinakua kinatoa gasi inapuliza lakini ukiwasha haiwaki

Tatizo itakua nakosea wapi? Na huwa naifungua kwa umakini lakini wapi
 
Hii mada imekaa kipuuzi sana. Na pia nashangaa sijui kwann watu wanaichangia kwa kutoa majibu ya moja kwa moja wakati justificatins ni nyingi

Gesi inaisha kutokana na matumizi yako na ufanisi ( Efficiency) ya miundombinu yako kama jiko (Burner), regulator na pipe fittings.

Ila gesi yote ni moja tuu. Kila kampuni inanunia in bulk ( Kwa jumla) na kuiweka kwenye container (Mitungi) na kuuza rejareja.

Sasa ww unataka gesi amabayo haiishi haraka sijui tukujibuje, unadhani gesi za LPG ni kama Kuni ?
Mara nyingi watu wenye hulka kama hizi za kuchukulia mambo kwa upande wa hasi tu wanakuaga na matatizo ya stress za kimaisha
Yaani wao kila kitu wanaona ujinga na taabu tu

Yaani mjadala elimu safi we unaona watu wanajadili upuuzi tu
 
Back
Top Bottom