Tujuzane na kushauriana ipi gesi bora kwa matumizi ya nyumbani

Tujuzane na kushauriana ipi gesi bora kwa matumizi ya nyumbani

Oryx ila sina sababu sana sababu pekee ni kuwa tangu ninunue natumia na haujawahi kunisumbua bei kwa sasa sijui sana najua ya kujaza tu 54000
 
Chukua mihani mkuu, iko poa hata bei yake ni poa tu , pia sijawahi nunua mihan iliyochakachuliwa, zaman nilikuwa natumia orxy nikaachana nayo coz wachakachuaji ni wengi wa mitungi hiyo
Hiyo mihani bei gani mkuu?
 
Mihan mzee. Hasa kama upo dar. Ni chipest sana. Kwa sisi wa mageton mtngi wa kilo 15 tunabadirishia elf 17
Hapo napika miez 3
 
Mihan gas au gas ya oilcom..bei 45000 mtungi wa 30kg
 
Orxy wako vizuri
Hata mitungi yao haina kulipuka. Usalama ni bora zaidi ya gharama
 
Inategemea na matumizi ya mtu, mimi naishi peke yangu nilinunua kg 30 ya oryx tarehe 15 october mwaka jana, natumia gas kwa kila kitu imeisha tarehe 23 mwezi wa nne.
kwa hiyo matumizi ya gas yana matter sana kama unapka sana itaisha mapema pia regulator na aina ya jiko mfano langu linakula 30g/hr wakati majiko meng ni 120g/hr
Mkuu hili ni jiko gani
 
Mihan Gas, nimewaanyooshea mkono. Wale wako poa sana
 
Inategemea na matumizi ya mtu, mimi naishi peke yangu nilinunua kg 30 ya oryx tarehe 15 october mwaka jana, natumia gas kwa kila kitu imeisha tarehe 23 mwezi wa nne.
kwa hiyo matumizi ya gas yana matter sana kama unapka sana itaisha mapema pia regulator na aina ya jiko mfano langu linakula 30g/hr wakati majiko meng ni 120g/hr

Tutumie picha ya hilo jiko lako, au jina lake. Pia itakuwa vizuri ukituelekeza ni sehemu gani huwa wanaandika hizo 30g/h au 120g/h kwenye hayo majiko.
 
Gesi zote zinatoka iran, na kwa matumizi ya home gesi zote ni butane. Mitungi yake ndio ina brand tofauti, cha msingi ni kununua mtungi ambao valves zake zimefungwa vizuri na ziko sealed
 
PENTFORD GAS kutoka uingereza ni nzuri mno mtungi mkubwa ni 30,000/=
 
Back
Top Bottom