Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zote sawa tu wanakojazia mitungi ni sehemu moja so chagua kipenda roho.Nakusudia kuanza matumiz ya gesi kutoka kweny kuni na mkaa bt naona kuna brand nying sana sokoni... oryx, mihan, lake gase, mogase n.k ipi ni right choice?
Ukijustify reason ako ni gud zaid
Hivi unatambuaje gas consumption ya jiko, maana nahisi jiko langu linafyonza sana ges. Nipe elimu kidogo ili niitumie nikinunua lingineZote sawa tu wanakojazia mitungi ni sehemu moja so chagua kipenda roho.
Kumbuka kuzingatia gas consumption ya jiko kabla ya kununua...
Kuna sticker yanakuwa yamebandikwa kwa chini mimi nina jiko la total plate mbili consumption yake ni 32g/hr wakati nikkei yale plate mbili ni 180g/hr if not mistaken.Hivi unatambuaje gas consumption ya jiko, maana nahisi jiko langu linafyonza sana ges. Nipe elimu kidogo ili niitumie nikinunua lingine
Tupe elimu kidogo mkuununua jiko la Nikah na mtung wa Mihans utainjoy
True, maana hakunaga anayehakiki, wao wanakupa tu mtungi kumbe wameiunderhapo aina ya kampuni ya gas sio ishu ishu ni unachukulia wapi gas yako,kuna ma agent wengine wanakupiga gas nusu mtungi ukitumia hata wiki haimalizi
mkuu mi nina mdau fulani maeneo yet huwa nachukua kwake,jamaa ni muungwana sana ndio aliyenifumbuaga macho kuhusu huo mchezoTrue, maana hakunaga anayehakiki, wao wanakupa tu mtungi kumbe wameiunder
do hii mpya, wengine walio experience hii kitu watuambieNimetumia aina zote za gas kwa uzoefu wangu mihan wako vizuri,kipimo chao kimekamilika ila la kushangaza mihani gas ina uzito fulani sio nyepesi kama Oryx.
Mihan ikikata usikimbie kununua mwingine tikisa mtungi wako endelea kutumia kwa muda mrefu tofauti na Oryx ikikata basss
Huku bando halichachi [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji28]Hamieni huku wakuu, hakuna jaka moyo..[emoji12] [emoji12] View attachment 387197
Hata Mimi Mkuumm huwa naangalia rangi ya mtungi kwa nje kama unapendeza,hakika mihan unavutia