Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
And that's my sweetheart mwasu...nitainunua mpenzi.Nilikuwa natumia Manji's inakaa vizuri sna nikaona oryx inaweza kuwa bora zaidi, sikufurahishwa na ukaaji wake nikarudi mbio Manji's. Hii kwangu ndio bora zaidi, hao mihan, lake nawaangalia tu wala sina mzuka wa kubadilika tena. Jaribu mpenzi hutojuta.
Tena ngoja nianze kutafuta inapopatikana maeneo karibu na hapa ili hii Mihan ikiisha tu nikaichukue fastaaaa.
[emoji39][emoji39][emoji39]
Nitakupa mrejesho dear.