Tujuzane na kushauriana ipi gesi bora kwa matumizi ya nyumbani

binafsi nameanza kutumia mtungi Mdogo wa mihan kwa matumiz ya kukaangia mayai/chips mayai.Nimeununua tar 2 August mpaka sasa unatumika.Huwa nachomea wastan wa trey moja kwa siku,chai asubuh basi.Naahid kuleta mrejesho pind utakapoisha nikipata wasaa.
Nyongeza:Wakat nanunua nilimuuliza muuzaj kwa nn bei ya orex IPO juu kuliko ges ingine...mihan nilinunua elf 75.Muuzaj akanijib Orexy wanauzia jina ila walikuwa na sifa ya kutokuchakachua lkn sasa nao wanachakachua...
Mtonyo:Kuna MTU alinisikitikia kununua mihan 75 wakat lake wana ofa wanauza 45 mtungi huohuo Mdogo.......nipo morogoro town so ges zote zinapatikana kirahis
 
Manjis ni kampuni ya Arusha ndo nyumbani kwao hadi vichochoroni wapo,wameenea sana Arusha hakuna kampuni inayowashinda wao kwa Arusha hata hao Oryx kwa Manjis Arusha wanaisoma namba,pia ni wazuri
kwani mitungi yao inajaa wala hawapunji.
Eeeh bwana eeeh?Sasa kwanini wasisambaze mitungi na huku Dsm namna hiyo?
Au huku wameona kugumu wakaamua kukamata masoko ya mikoani?

Kutokana na uhaba wake huku hadi naingia kigugumizi kwenye kununua.
Hakuna kitu kinakera kama has iishe halafu uitafute ya aina ile uikose (hasa kama uliipenda)
 
Sana mkuu...
Nimeikumbuka na najuta sana [emoji22][emoji22][emoji22].
Ushauri..
Uwe na mitungi zaidi ya mmoja.... gesi inaishaga katikati ya shughuri.... imajini upo katikati ya upishi wa ugali wa wageni au hata pilau halafu gesi shwaaaaaaaaaa.....
Kama hujatoa kitu cha ugali mbichi sijui..!!
 
Eeeh bwana eeeh?Sasa kwanini wasisambaze mitungi na huku Dsm namna hiyo?
Au huku wameona kugumu wakaamua kukamata masoko ya mikoani?

Kutokana na uhaba wake huku hadi naingia kigugumizi kwenye kununua.
Hakuna kitu kinakera kama has iishe halafu uitafute ya aina ile uikose (hasa kama uliipenda)
Tatizo kuna watu Tanzania hii wananunua bidhaa kwa udini, ukanda, ukabila na hata undugu.... imajini majivya uhai ukayakute yanauzwa kwa wingi Arusha..!!!

Kuna bidhaa hata wauzaji hawajisumbui kupeleka maeneo fulani. ... fikiria bia ya balimi ukaipeleke Mtwara....🙂🙂🙂
 
binafsi nameanza kutumia mtungi Mdogo wa mihan kwa matumiz ya kukaangia mayai/chips mayai.Nimeununua tar 2 August mpaka sasa unatumika.Huwa nachomea wastan wa trey moja kwa siku,chai asubuh basi.Naahid kuleta mrejesho pind utakapoisha nikipata wasaa.
Nyongeza:Wakat nanunua nilimuuliza muuzaj kwa nn bei ya orex IPO juu kuliko ges ingine...mihan nilinunua elf 75.Muuzaj akanijib Orexy wanauzia jina ila walikuwa na sifa ya kutokuchakachua lkn sasa nao wanachakachua...
Mtonyo:Kuna MTU alinisikitikia kununua mihan 75 wakat lake wana ofa wanauza 45 mtungi huohuo Mdogo.......nipo morogoro town so ges zote zinapatikana kirahis

Mkuu Lake Gas kwa 45 full package?
Kweli hiyo ni ofa.
Huku Dsm inategemea na eneo.
Kuna ndugu yangu aliambiwa eneo lake 75 ilhali huku kwangu 60.

Orxy huku ndio bei rahisi kuliko gas nyingine mkuu.

Tunasubiri mrejesho...
Asante.
 
Ushauri..
Uwe na mitungi zaidi ya mmoja.... gesi inaishaga katikati ya shughuri.... imajini upo katikati ya upishi wa ugali wa wageni au hata pilau halafu gesi shwaaaaaaaaaa.....
Kama hujatoa kitu cha ugali mbichi sijui..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo siku yangu imekuwa nzuri sana,I love JF!

Halafu kweli...uzuri sijawahi kuishiwa katikati ya upishi.
Nitaja adhirika hivihivi!
Bora mboga au chochote kile lakini sio ugali...nitafeli.
 
Tatizo kuna watu Tanzania hii wananunua bidhaa kwa udini, ukanda, ukabila na hata undugu.... imajini majivya uhai ukayakute yanauzwa kwa wingi Arusha..!!!

Kuna bidhaa hata wauzaji hawajisumbui kupeleka maeneo fulani. ... fikiria bia ya balimi ukaipeleke Mtwara....🙂🙂🙂
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mkuu point yako ya kwanza nimekuelewa sawia...ila ya pili nimeona nyota.

Nadhani wanachama wa hiyo kitu watakuelewa pasi na shaka.

BTW...wewe ni mwalimu mzuri sana.Unaelezea jambo huku ukitumia mifano hai [emoji122][emoji122][emoji122].
 
Mimi ninatumia Oryx, reason kubwa iliyonufanya nikaichagua ni kutokana na kusambaa sehemu nyingi hivyo upatikanaji wake hausumbui. Ila kuna jamaa aliniambia Manjis zinawaka kwa moto mkalk zaidi ya Oryx tena moto wa bluu muda wote.Alieniambia ni jamaa anaeuza mitungi. Ila ninavyojua mimi rangi ya moto wa gesi hutokana na kiasi cha oxygen kinachoburn/support combustion. Je hilo lina ukweli la Moto mkali kwa Manjis ni kweli au fix za muuzaji hasa kutokana kuwa na kuwa na mitungi mingi ya Manjis???
 
Nilikuwa natumia Manji's inakaa vizuri sna nikaona oryx inaweza kuwa bora zaidi, sikufurahishwa na ukaaji wake nikarudi mbio Manji's. Hii kwangu ndio bora zaidi, hao mihan, lake nawaangalia tu wala sina mzuka wa kubadilika tena. Jaribu mpenzi hutojuta.
 
Hapo kuna kitu lazima ukiangalie...,
1.Model ya Jiko lako
2. Rate pressure ya jiko kama jiko lako limezidi 2800Pa.,utabadili sana mitungi ukiamini haijazwi ipasavyo.
3. Ni Gas Consumption ya Jiko lako kiwango kizuri ni chini ya 265g/hrs.,ikizidi hapo ni majanga tupu.
Na hapa ndio unapokuja umakin wa kuchagua jiko liwe na plate ngapi.,Kila plate inauwezo wake wa kula gas..,ni bora pia kununua jiko lenye plate kubwa na ndogo.,ili pale unapolitumia kupikia vitu vinavyohitaji moto wa taratibu au moto kias utumie plate ndogo.
 
Mimi ninatumia Oryx, reason kubwa iliyonufanya nikaichagua ni kutokana na kusambaa sehemu nyingi hivyo upatikanaji wake hausumbui. Ila kuna jamaa aliniambia Manjis zinawaka kwa moto mkalk zaidi ya Oryx tena moto wa bluu muda wote.Alieniambia ni jamaa anaeuza mitungi. Ila ninavyojua mimi rangi ya moto wa gesi hutokana na kiasi cha oxygen kinachoburn/support combustion. Je hilo lina ukweli la Moto mkali kwa Manjis ni kweli au fix za muuzaji hasa kutokana kuwa na kuwa na mitungi mingi ya Manjis???
Siamini kama ni fix za muuzaji maana hapo ilikuwa lazima umnunuze.

Ungechukua Manjis uone utofauti, mimi napenda kujaribu na nitaitafuta gas ya Manji's kwa kila hali.
 
Kama unamjua mtu anaefanya kazi TPDC
waulize
wana gesi yao ya mtwara nafuu kuliko zote na safe
wafanyakazi wao hasa wanaoishi nyumba za TPDC mikocheni wanaitumia
 
Back
Top Bottom