Salahan
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,963
- 3,685
binafsi nameanza kutumia mtungi Mdogo wa mihan kwa matumiz ya kukaangia mayai/chips mayai.Nimeununua tar 2 August mpaka sasa unatumika.Huwa nachomea wastan wa trey moja kwa siku,chai asubuh basi.Naahid kuleta mrejesho pind utakapoisha nikipata wasaa.
Nyongeza:Wakat nanunua nilimuuliza muuzaj kwa nn bei ya orex IPO juu kuliko ges ingine...mihan nilinunua elf 75.Muuzaj akanijib Orexy wanauzia jina ila walikuwa na sifa ya kutokuchakachua lkn sasa nao wanachakachua...
Mtonyo:Kuna MTU alinisikitikia kununua mihan 75 wakat lake wana ofa wanauza 45 mtungi huohuo Mdogo.......nipo morogoro town so ges zote zinapatikana kirahis