Tujuzane na kushauriana ipi gesi bora kwa matumizi ya nyumbani

Tujuzane na kushauriana ipi gesi bora kwa matumizi ya nyumbani

Kuna kipindi fulani gas ilikuwa inaisha kwa muda mfupi sana.

Uchunguzi wangu ukagundua tukitoka asubuhi dada wa kazi anatoa msaada wa kupika na gas kwa nyumba ya jirani.
 
kma daily wapika mahrage kombat mkuu lzma ikate tu mapeeema yoyte ile... no way.. all are =
 
Yeah...Orxy ni kampuni kongwe kabisa.Imejiimarisha kibiashara kiasi kwamba upatikanaji wake ni rahisi.
Ila kama utaniuliza baada ya maoni yote hata...
Honestly...I'll go for Manji's.
Tatizo sijui nitaipata wapi...sijaiona sana ile.
Shida ya haya makampuni mengine kama majis ni upatikanaji wake,nakumbuka nilinunua lake gas ilipoisha sikupata tena sehemu ya kwenda kujaza hadi nikaamua kuuza mtungi kwa 30,000[emoji3][emoji3]

Ila kama hapo ulipo inapatikana kwa urahisi nunua manjis.
 
Yarabiiiiiiii![emoji134]
Ila this time watu wamechachamaa,hatua zisipochukuliwa mapema tutaingia machafukoni.
Kutwa nzima watu wanamjadili msukuma, anaweka mafuta kwenye moto.
Huu sasa ni uoga au mabavu!

Mweeeeh hv hii nayo ni aina ya gesi au!!
[emoji100] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Habari za wakati wakuu?
Natumai wengi wetu huku tunatumia gesi kama nishati majumbani mwetu.
Takribani mwezi sasa nimekuwa nikiumiza kichwa kwa uamuzi niliouchukua wa kubadili aina ya gesi ninayotumia nyumbani.

Hapo mwanzo nilikuwa natumia gesi kutoka kampuni ya Lake,kwa mtungi mdogo (15 kg) niliweza kudumu nayo takribani miezi mitatu.
Mtungi huo nilianza kuutumia mnamo mwezi wa 4 hadi ilipoisha July katikati.

Nilipata ushawishi wa kuhama kampuni ya Lake na kuhamia Mihan kutoka kwa ndugu yangu wa karibu aliyenishawishi kuwa Mihan inadumu zaidi.
Baada ya kubadili najuta kwani mambo siyo kabisa,gesi hii inakwisha haraka sana.
Niliujaza mtungi huu mwezi jana tarehe 5 lakini kwa uzoefu wangu hapa ulipofikia haitopita wiki haijaisha!

Mwanzo kabisa nilikuwa natumia CAM Gas mtungi wa kg 30 (kwa jiko la plate 3).Kiukweli hii nilikuwa nadumu nayo miezi mitano na zaidi.

Lakini kwa hali ya kiuchumi ilivyobadilika nikaamua kutumia hii mitungi midogo lakini naona hali siyo.

Naomba tushauriane kwa uzoefu ipi gesi nzuri kiuchumi? Maana gesi hii kuisha ndani ya mwezi mmoja kumenishangaza.

Note
Sina lengo la kuiharibia biashara kampuni yoyote,zaidi nataka tupeane mawazo ya gesi ipi itakayoendana na hali halisi ya sasa,asanteni.
Wasalaam,
Nifah
Lake ni nzuri sana
 
Kuna kipindi fulani gas ilikuwa inaisha kwa muda mfupi sana.

Uchunguzi wangu ukagundua tukitoka asubuhi dada wa kazi anatoa msaada wa kupika na gas kwa nyumba ya jirani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakufa kwa kicheko jamani...
You guys leo mmeniamulia!

Dada wenu ni noumah aiseee.
 
kma daily wapika mahrage kombat mkuu lzma ikate tu mapeeema yoyte ile... no way.. all are =
Mkuu nikitaka kupika maharage huwa natumia mkaa.

Huwezi amini Lake nilikuwa nachemshia maharage kwa zaidi ya lisaa lakini bado lilidumu kwa zaidi ya miezi mitatu.
 
Shida ya haya makampuni mengine kama majis ni upatikanaji wake,nakumbuka nilinunua lake gas ilipoisha sikupata tena sehemu ya kwenda kujaza hadi nikaamua kuuza mtungi kwa 30,000[emoji3][emoji3]

Ila kama hapo ulipo inapatikana kwa urahisi nunua manjis.

Huku ni Orxy,Mihan,O gas na Lake.
Nyingine ni adimu sana.

Sasa sijui nifanyeje na Manji's ndio hasa lengo langu kwa sasa.

Duh,pole sana mkuu.
 
Kutwa nzima watu wanamjadili msukuma, anaweka mafuta kwenye moto.
Huu sasa ni uoga au mabavu!

Mweeeeh hv hii nayo ni aina ya gesi au!!
[emoji100] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakufa kwa kicheko jamani...
You guys leo mmeniamulia!

Dada wenu ni noumah aiseee.
Hawa dada wa kazi si mchezo. Mpaka Mungu akupe mtu sahihi.

Na majirani wa siku hizi walivyo, kazi kutake advantage. Ukitoka tu kwenda kazini yeye anakuja kusalimia na kama unapenda kufanya shopping ya nyanya na vitunguu kwa wingi, basi hatawahi kununua hivo vitu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dawa ni kumpa onyo kali mapema.

Dah...poleni sana.
 
Nimewavulia kofia...[emoji119][emoji119]Orxy ni gas ya Taifa.
Kuna products zimewahi kushika soko mpaka soko likaitwa kwa jina lake... kwa mfano..
1. Kiwi... ilikamata soko kisi cha kiasi cha mtu akitaka kupaka dawa kiasi utamsikia... nipigie kiwi viatu.... wakati kuna aina zingine za dawa za viatu

2. Bukta... hawa walitengeneza kaptula kiasi kwamba kaptula almost zote zikaitwa bukta

3. Shell... ni kampuni ya mafuta iliyokuwepo Tanzania...ilifikia mahala na inaendelea kutambulika kwamba vituo vyote vuavmfuta watu huiya shell...

4. Ilikiwa hivyo kwa colgate.. watu tilikuwa tunawasikia... una colgate hapo... wakimaanisha dawa ya kupigia mswaki.. mwenye whitedent naye alikuwa anajibu ninayo...

5. Bic.. hawa nao walikamata soko kiasi kwamba kila kalamu ya wino ilikuwa inaitwa bic.

6. Mnakumbuka enzi za mobitel..? mtu anakwenda dukani kununua simu, utamsikia hii mobitel inauzwa shilingi ngapi..?? au mobitel yako umenunia shilingi ngapi..??

Oryx gas nayo ilikiwa inaelekea huko... lakini wao kuonekana hivyo ilikuwa mostly kwa sababu ya kuwepo peke yao kwenye eneo kubwa la Tanzania. Na soko likikutwa limezowea bidhaa fulani ni kazi kulibadili. Hiyo ikafanya oryx wawe na bei kubwa kuliko wengine, lakini wameanza kuwa sawa na watashuka kwa pamoja.
 
Kuna products zimewahi kushika soko mpaka soko likaitwa kwa jina lake... kwa mfano..
1. Kiwi... ilikamata soko kisi cha kiasi cha mtu akitaka kupaka dawa kiasi utamsikia... nipigie kiwi viatu.... wakati kuna aina zingine za dawa za viatu

2. Bukta... hawa walitengeneza kaptula kiasi kwamba kaptula almost zote zikaitwa bukta

3. Shell... ni kampuni ya mafuta iliyokuwepo Tanzania...ilifikia mahala na inaendelea kutambulika kwamba vituo vyote vuavmfuta watu huiya shell...

4. Ilikiwa hivyo kwa colgate.. watu tilikuwa tunawasikia... una colgate hapo... wakimaanisha dawa ya kupigia mswaki.. mwenye whitedent naye alikuwa anajibu ninayo...

5.
5.ITV....
Zamani kama kwenu kuna television utasikia unaulizwa mna ITV kwenu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe jamaa una akili sana,nimekukubali.
 
Yeah...Orxy ni kampuni kongwe kabisa.Imejiimarisha kibiashara kiasi kwamba upatikanaji wake ni rahisi.
Ila kama utaniuliza baada ya maoni yote hata...
Honestly...I'll go for Manji's.
Tatizo sijui nitaipata wapi...sijaiona sana ile.
Manjis ni kampuni ya Arusha ndo nyumbani kwao hadi vichochoroni wapo,wameenea sana Arusha hakuna kampuni inayowashinda wao kwa Arusha hata hao Oryx kwa Manjis Arusha wanaisoma namba,pia ni wazuri
kwani mitungi yao inajaa wala hawapunji.
 
Back
Top Bottom