Tujuzane na kushauriana ipi gesi bora kwa matumizi ya nyumbani

Tujuzane na kushauriana ipi gesi bora kwa matumizi ya nyumbani

Gas ni ile ile as long as mtungi umejazwa vizuri na hakuna usanii hakuna tofauti. It doesn't matter ni oryx, mihan au manjis pima kabla hujachukua au pia kwa mihan siku hzi wanakuwa wameweka kizibo ile isifanyiwe usanii
 
Hii sijawahi kujaribu,na hivi mimi ni Mwanajangwani nitajisikia fahari sana kama gesi ya Manji ikinifaa.
Hakika sitobadili tena.
Pia o gas ya oil com nayo sio mbaya na rangi pia ni ya jangwani. Lakini la muhimu ni kupima kabla ya kununua au angalia leakage kwenye jiko.
 
Kama iko vizuri ni sawa,japo sio mbaya kujaribu nyingine...you never know eti?
Mimi sijui nikoje,napenda kuchunguzaaaaa (no wonder ni mbea)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
BTW...nimekukosa,long time no see dear [emoji22].
Nimekukosa sana pia mpendwa, tatizo wewe umemkomalia tuuu mange utaniona wapi sasa![emoji85] [emoji85] [emoji85]

Tatizo oryx haijawahi kunipa sababu ya kujaribu nyingine so nimetokea kuiamini.
 
Unatumia mtungi gani (size) na unadumu nayo muda gani?
Na matumizi yako yakoje mkuu?
Isijekuwa unachemshia chai tu [emoji12]
Hapo lazima idumu.
mtungi mkubwa kg30 jiko two plates. matumizi ni ya kila siku asubuhi mchana jioni na inadumu kwa miezi mitano hadi na nusu. kiukweli naona inanishawishi kukaa na hihii kampuni. sijui kwasababu mi mwana msimbazi(rangi)??
 
Mm huwa nina ORXY hata kulipuka huwa ina nisamehe tu (ile switch ya ON/OFF sijui ilipate shot na kushika moto chini ya Jiko duuh, kurudi jikoni moto balaa) nadhani ni nzr sn hii ukichukua tahadhari zake zote.
[emoji134][emoji134][emoji134] pole mkuu kwa kunusurika na ajali ya moto.
Nimewahi kusikia Orxy inalipuka sana.
Mhhhhh hadi nimeanza kuogopa
 
Gas ni ile ile as long as mtungi umejazwa vizuri na hakuna usanii hakuna tofauti. It doesn't matter ni oryx, mihan au manjis pima kabla hujachukua au pia kwa mihan siku hzi wanakuwa wameweka kizibo ile isifanyiwe usanii
Nilikuwa naamini hivi...lakini baada ya kubadilisha nimeona utofauti.
Ngoja niendelee kujaribu...
Huwa napima kabla ya kuondoka, siwezi kufanya uzembe wa namna hiyo. (Kutokupima)
 
Pia o gas ya oil com nayo sio mbaya na rangi pia ni ya jangwani. Lakini la muhimu ni kupima kabla ya kununua au angalia leakage kwenye jiko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani mnanichekesha nyie.
O gas inanishawishi...
Lakini binafsi nimedhamiria kuanza na Mzee mzima Manji...[emoji39][emoji39][emoji39]
 
[emoji134][emoji134][emoji134] pole mkuu kwa kunusurika na ajali ya moto.
Nimewahi kusikia Orxy inalipuka sana.
Mhhhhh hadi nimeanza kuogopa

Nina miaka mi4 natumia Oryx haijawai kulipuka au kuisha mapema. Ninatumia miezi 8 mtungi wa (kg15).
 
Nimekukosa sana pia mpendwa, tatizo wewe umemkomalia tuuu mange utaniona wapi sasa![emoji85] [emoji85] [emoji85]

Tatizo oryx haijawahi kunipa sababu ya kujaribu nyingine so nimetokea kuiamini.

Haaaaa jamani!Mbona sasa hivi sipo sana umbeani?
Nipo kwenye ujenzi wa UKUTA mama...
Baada ya hapo ndio nitarudisha akili kuleeee.

Endelea na orxy yako my dear
 
mtungi mkubwa kg30 jiko two plates. matumizi ni ya kila siku asubuhi mchana jioni na inadumu kwa miezi mitano hadi na nusu. kiukweli naona inanishawishi kukaa na hihii kampuni. sijui kwasababu mi mwana msimbazi(rangi)??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja na mimi nimjaribu Manji,akinifaa sibadili milele.

Kwa sifa hizi basi Orxy wako vizuri aiseee...mnaelekea kunishawishi
[emoji12][emoji12][emoji12]
 
Nifah jaribu oryx hutojuta! mind not rangi yake. ukufikisha ndani funika mtungi na kitambaa cha njano ama kijani!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu nimecheka sana,sana.
You made my night...
Thank you [emoji11]
 
Haaaaa jamani!Mbona sasa hivi sipo sana umbeani?
Nipo kwenye ujenzi wa UKUTA mama...
Baada ya hapo ndio nitarudisha akili kuleeee.

Endelea na orxy yako my dear
Hahaaaa! Umenikumbusha leo tulivyotishwa cheeeeee!!
Haya mama wewe jenga tu ukuta.
 
Nina miaka mi4 natumia Oryx haijawai kulipuka au kuisha mapema. Ninatumia miezi 8 mtungi wa (kg15).
Wewe sasa umevunja rekodi mkuu.
Kg 15 miezi 8?
Au kg 15 ukiwa mtupu nini?
Kama ni pamoja na ujazo wa gas basi wewe utakuwa unatumia gas kukaangia mayai tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom