Tujuzane na kushauriana ipi gesi bora kwa matumizi ya nyumbani

Tujuzane na kushauriana ipi gesi bora kwa matumizi ya nyumbani

Hii sijawahi kujaribu,na hivi mimi ni Mwanajangwani nitajisikia fahari sana kama gesi ya Manji ikinifaa.
Hakika sitobadili tena.

Gas zote ni sawa. Kuisha mapema ni mambo mawili.matumizi yasio sawa kama kuwasha na kujisahau maji yanachemka tu au baadhi ya wauzaji wasio waaminifu..wanajaza kwa kupunja.
 
Jibu ni sahihi kabisa.Ndo maana hao wauzaji wanatakiwa wawe na MIZANI.. Uhuni upo hapo .
 
Kuisha kwa gesi inategemea matumizi yako,familia yangu(watu sita) hutumia wiki tatu kilo 15. Ununuapo pima kuhakiki ujazo uliondikwa.
 
manjis mitungi yao inajaa vizuri
ila nikushauri kitu ukinunua mtungi waupime kabisa mingine haijai kg iliyoandikwa
Huwa napima dear,siwezi nunua gesi bila kuhakiki.
Nataka nihamie Manjis...nione nayo ikoje.
Soon...
 
Gas zote ni sawa. Kuisha mapema ni mambo mawili.matumizi yasio sawa kama kuwasha na kujisahau maji yanachemka tu au baadhi ya wauzaji wasio waaminifu..wanajaza kwa kupunja.
Sina matumizi makubwa na niko makini sana.
Suala la wauzaji mimi hawanikamati maana huwa napima kabla ya kuondoka.
Sikubaliani na wewe kwamba zote ni sawa mkuu.
 
Back
Top Bottom