Baraka Roman
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 692
- 262
Oryx ni nzur
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea na matumizi ya mtu, mimi naishi peke yangu nilinunua kg 30 ya oryx tarehe 15 october mwaka jana, natumia gas kwa kila kitu imeisha tarehe 23 mwezi wa nne.
kwa hiyo matumizi ya gas yana matter sana kama unapka sana itaisha mapema pia regulator na aina ya jiko mfano langu linakula 30g/hr wakati majiko meng ni 120g/hr
Ebu niambie uzuri wake ni mtungi au ni kwakuwa ni affordable maana nalojua wote hao wanaenda jaza mitungi sehemu moja
Mihan naipenda sana, ina moto wa wasitani kwahiyo inakaa sana na mara ya mwisho nimenunua mtungi mkubwa kwa bei ya 55,000
bei hiyo kwa mtungi mpya au kujaza gesi?
Nilipokuwa Bachelor, nlikuwa nkitumia 15Kgs mara mbili tu kwa Mwaka na Miezi kama 3.
Ila nlipokuja kuoa, ndo nkajua matumizi sahihi ya Gas. Obvious kwa Familia yenye Watu7, na kama asubuhu watapika Breakfast/Mchana Lunch/Jion wakaanda Dinner, Basi hiyo Gas itaweza kudumu kwa Siku 40(Plus or Minus 2dayz)
Kinachoweza kuchangia pia kuisha haraka kwa Gas ni Aina ya jiko unalotumia.kuna baadh ya Majiko yale Matundu yake ni Makubwa kwa ajili ya kuchochea Moto Mkali. Ni dhahiri lazima iishe Mapema ukiwa na jiko kama hili.
Majiko mengine Vitundu vyake ni vidogo na hupitisha Moto Mdogo hadi(18grams per/hr)
Mi nimehamia mihan mana bei kdg afadhali. Ni nzuri pia
nina mtungi wa oryx naweza jaza mihan???;ama
Mi nimehamia mihan mana bei kdg afadhali. Ni nzuri pia
Nilikuwa sijui hili, ndo najua leo. Asante
Gesi zote hujazwa sehemu moja ...uzuri wa gesi ni angalia eneo ulipo gas gani hupatikana ndo utumie hiyo ,na kuhusu kuisha mapema inategemea matumizi na jiko unalotumia ,usipende majiko ya bei rahisi...RAHISI GHALI. Na hakikisha kila unaponunua gesi unapimiwa ..
gas ni gas tofauti ni jina la kampuni tu,
nina mtungi wa oryx naweza jaza mihan???;ama
30g/hr wakati majiko meng ni 120g/hr
Ikiisha nenda unakojaza gesi ongea nao kuwa unataka mihan watakubadilishia mtungi watakupa wa mihan.
Mimi nilifanya hivyo.
mihan is the best bhana