Tujuzane na kushauriana ipi gesi bora kwa matumizi ya nyumbani

Mwaka jana nlinunua jiko la Oryx lenye infrared gas stove ni zuri sana mana hautuimii gas nying kuna mahali uanpunguza gas inatok kidog na hakua kinaiva vizuri.

MKUU hembu elezea vizuri basi hiyo aina ya hilo jiko na ulinunua shilingi ngapi
 
Kuna gas mpya ya oil com ni gharama nafuu na unaweza kubadilisha na oryx.ni mpya.mm nimenunua nilienda na mtungi wa oryx nikaambiwa upo wa oil com unaweza chukua ni rahisi bt kama ntaona haufai narudi tena kuchukua oryx

Nafuu ni relative term ebu eleza ni shs ngapi na ujazo gani
 
MKUU hembu elezea vizuri basi hiyo aina ya hilo jiko na ulinunua shilingi ngapi
jiko langu nlinunua pale Bigbon kariakoo ni special order ya oryx waliuza tsh63000/= Cjui kwa sasa kama hzo sample zipo ni vema kwenda kuulizia . Nakushauri angalia jiko aisee mana ukikimbila Hitach ina matundu makubwa yanakula gas mpk unakimbia . Jiko langu lina sehemu ya kupunguz mtumiz ya gas hata karanga nakaanga bila kuungua
 
Kumbe mimi niana Hi_TACH inaniumiza kweli halafu nahisi regulator kama mbovu vile?
 
Umefanya vizuri kumsamehe bure! Watu wanauliza mambo ya Msingi yeye anakuja kutukana watu! Lakini baada ya kufuatilia post zake naye nikagundua kumbe anaulizia mle mle!!

yaani alikurupuka kuniita mi zuzu looh
 
jiko langu nlinunua pale Bigbon kariakoo ni special order ya oryx waliuza tsh63000/= Cjui kwa sasa kama hzo sample zipo ni vema kwenda kuulizia . Nakushauri angalia jiko aisee mana ukikimbila Hitach ina matundu makubwa yanakula gas mpk unakimbia . Jiko langu lina sehemu ya kupunguz mtumiz ya gas hata karanga nakaanga bila kuungua

MKUU unaweza kutupia kapicha kidogo maana hawa mamantilie watatuua aisee bora kukaangiza mwenyewe hapo kwenye jiko hakika ningekula za uso maana nilikuwa sina uelewa wowote naninauhakika kuna wengi wanakula za uso na lawama zinawaendea wauza gesi.
kuwa gesi zao zinaisha haraka.

nashukuru sana wana JF
 
mkuu ningekutumia picha ila nashindwa ku-appload kwa kutumia simu
 
Maelezo mengine ni kudanganyana huwezi kwenda na mtungi wa oryx wakujazie mihan. Labda kitu unachoweza kufanya ni kuongea na wakala kama anatoa huduma kwa kampuni zote 2 akubadilishie, na hapo inawezekana ukalazimika kubadilisha regulator.

Ni nilikuwa na Oryx nlipotaka mihan nilibadilishiwa. Labda huyo wakala alikua ana deal na kampuni zote 2.
 
Habari za wakati wakuu?
Natumai wengi wetu huku tunatumia gesi kama nishati majumbani mwetu.
Takribani mwezi sasa nimekuwa nikiumiza kichwa kwa uamuzi niliouchukua wa kubadili aina ya gesi ninayotumia nyumbani.

Hapo mwanzo nilikuwa natumia gesi kutoka kampuni ya Lake,kwa mtungi mdogo (15 kg) niliweza kudumu nayo takribani miezi mitatu.
Mtungi huo nilianza kuutumia mnamo mwezi wa 4 hadi ilipoisha July katikati.

Nilipata ushawishi wa kuhama kampuni ya Lake na kuhamia Mihan kutoka kwa ndugu yangu wa karibu aliyenishawishi kuwa Mihan inadumu zaidi.
Baada ya kubadili najuta kwani mambo siyo kabisa,gesi hii inakwisha haraka sana.
Niliujaza mtungi huu mwezi jana tarehe 5 lakini kwa uzoefu wangu hapa ulipofikia haitopita wiki haijaisha!

Mwanzo kabisa nilikuwa natumia CAM Gas mtungi wa kg 30 (kwa jiko la plate 3).Kiukweli hii nilikuwa nadumu nayo miezi mitano na zaidi.

Lakini kwa hali ya kiuchumi ilivyobadilika nikaamua kutumia hii mitungi midogo lakini naona hali siyo.

Naomba tushauriane kwa uzoefu ipi gesi nzuri kiuchumi? Maana gesi hii kuisha ndani ya mwezi mmoja kumenishangaza.

Note
Sina lengo la kuiharibia biashara kampuni yoyote,zaidi nataka tupeane mawazo ya gesi ipi itakayoendana na hali halisi ya sasa,asanteni.
Wasalaam,
Nifah
 
poa nadhani oryx iko poa na faamilia inakaa muda sana
 
Back
Top Bottom