Tujuzane na kushauriana ipi gesi bora kwa matumizi ya nyumbani

Tujuzane na kushauriana ipi gesi bora kwa matumizi ya nyumbani

Itabidi nianze kuchunguza
By the way ninaomba series za kikorea....[emoji12]
Alright mom.

Uwiiiiiii jamani am sorry kwa kuchelewa kukujibu...
Mwaka jana nilikuwa nazo kama series 50 hivi,cousin angu akaja kuzibeba zoteeee!
Sasa hivi naangalia kwa bahati tu.
Kama leo hii Mungu kanishushia malaika ananiletea kesho niangalie weeee kisha nimrudishie.
Pole dear,na hivi unaishi mbali....
 
rudia mtungi mkubwa mama...hii midogo ni balaa tuu ukiangalia hapo umedai kuwa jiko lako lina saani tatu
 
Yote kwa yote kama mtu una uwezo mitungi ile mikubwa kabisa ni bei kubwa kwa manunuzi lkn ni rahisi sana ukigawanya bei yake kwa kg
 
Oryx naitumia sa hiv nataka niipime ila mihan nlienjoy ilikaa sana ila gesi inategemea na matumizi
 
rudia mtungi mkubwa mama...hii midogo ni balaa tuu ukiangalia hapo umedai kuwa jiko lako lina saani tatu
Yeah,sahani tatu japo nilikuwa natumia moja tu.
Jiko dogo naona liko simple sana tofauti na kubwa.
Sijui ni mazoea?
Pia kubwa moto wake mkali sana,dogo moto wake sio mkali sana na unaweza kupunguza hadi mwisho.
 
Yote kwa yote kama mtu una uwezo mitungi ile mikubwa kabisa ni bei kubwa kwa manunuzi lkn ni rahisi sana ukigawanya bei yake kwa kg
Kivipi mkuu?Maana mtungi mdogo kuujaza ni 18,000 na kama nilivyosema Lake nilitumia miezi mitatu na zaidi.
Ila mkubwa maximum ni miezi mitano na no elfu 45,000.
Hapo tukipiga hesabu bado midogo ni rahisi zaidi.
(Ila kwa hii Mihan haifiki miezi mitatu,nitakula hasara [emoji22][emoji22][emoji22])
 
Oryx naitumia sa hiv nataka niipime ila mihan nlienjoy ilikaa sana ila gesi inategemea na matumizi
Mimi Mihan naona nafeli mkuu,siyo kabisa.
Usisahau kutupatia mrejesho wa Oryx,mimi nataka nitumie Manji's baada ya kuisha hii Mihan.
 
Yeah,sahani tatu japo nilikuwa natumia moja tu.
Jiko dogo naona liko simple sana tofauti na kubwa.
Sijui ni mazoea?
Pia kubwa moto wake mkali sana,dogo moto wake sio mkali sana na unaweza kupunguza hadi mwisho.
my dada kuna kifaa unaweza ukakifunga kwenye jiko lolote lile ukawa unapunguza na kuongeza wingi wa gas
IMG_20160822_184102.jpg

unapunguza kwenye mtungi na kwenye majiko pia kuna sehemu ya kupunguzia....ila ukitaka kusahau yani kutumia mtungi kwa muda mrefu nunua tuu mtungi mkubwa....kisha weka iko kifaa
 
natumia oryx, nilishawahi kuwaza kubadili zamani kidogo nikaahirisha. kwa ufupi iko poa.
 
Mihan mm bado naipenda kuliko Oryx
ila km Mihan ilikuangusha kwa sasa naomba uwe unafunga kwenye kichwa cha mtungi/
Gas inavuja sehemu nyingi jaribu kucheck hizo pipe mpaka jiko lenyewe lazima kuna panapovuka
Mihan ni miezi 5 mpaka 6 kwa mtungi mkubwa wa 15kg km utatumia kwa plate moja bila ya kuchemsha maji ya kuoga
 
Mie hutumia orxy na sijawahi kujaribu tofauti na hiyo kwa muda mrefu sana sasa.
Ngoja nione mawazo ya wengine.
 
my dada kuna kifaa unaweza ukakifunga kwenye jiko lolote lile ukawa unapunguza na kuongeza wingi wa gas
View attachment 385845
unapunguza kwenye mtungi na kwenye majiko pia kuna sehemu ya kupunguzia....ila ukitaka kusahau yani kutumia mtungi kwa muda mrefu nunua tuu mtungi mkubwa....kisha weka iko kifaa
Ooooooh aisee umenipa elimu sana.
Hicho kifaa mimi nilikuwa sijui kama kina matumizi hayo mengine tofauti na kupitisha gas.
Au hiki ni tofauti?
[emoji134][emoji134]
Kupunguza kwa jiko lenyewe najua mkuu [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
natumia oryx, nilishawahi kuwaza kubadili zamani kidogo nikaahirisha. kwa ufupi iko poa.
Unatumia mtungi gani (size) na unadumu nayo muda gani?
Na matumizi yako yakoje mkuu?
Isijekuwa unachemshia chai tu [emoji12]
Hapo lazima idumu.
 
Mihan mm bado naipenda kuliko Oryx
ila km Mihan ilikuangusha kwa sasa naomba uwe unafunga kwenye kichwa cha mtungi/
Gas inavuja sehemu nyingi jaribu kucheck hizo pipe mpaka jiko lenyewe lazima kuna panapovuka
Mihan ni miezi 5 mpaka 6 kwa mtungi mkubwa wa 15kg km utatumia kwa plate moja bila ya kuchemsha maji ya kuoga
Nilipewa sifa zake lakini inaniangusha mkuu.
Mimi natumia mtungi mdogo...
 
Mie hutumia orxy na sijawahi kujaribu tofauti na hiyo kwa muda mrefu sana sasa.
Ngoja nione mawazo ya wengine.
Kama iko vizuri ni sawa,japo sio mbaya kujaribu nyingine...you never know eti?
Mimi sijui nikoje,napenda kuchunguzaaaaa (no wonder ni mbea)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
BTW...nimekukosa,long time no see dear [emoji22].
 
Mm huwa nina ORXY hata kulipuka huwa ina nisamehe tu (ile switch ya ON/OFF sijui ilipate shot na kushika moto chini ya Jiko duuh, kurudi jikoni moto balaa) nadhani ni nzr sn hii ukichukua tahadhari zake zote.
 
Back
Top Bottom