Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Hatutishiki...[emoji123][emoji123]Hahaaaa! Umenikumbusha leo tulivyotishwa cheeeeee!!
Haya mama wewe jenga tu ukuta.
Pole darling.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatutishiki...[emoji123][emoji123]Hahaaaa! Umenikumbusha leo tulivyotishwa cheeeeee!!
Haya mama wewe jenga tu ukuta.
Eti mchana mchana watu wanafanya mazoezi ya kupiga mabomu acha watu watimke!! Watu ndio wamepandishwa hasira zaidi.Hatutishiki...[emoji123][emoji123]
Pole darling.
nilijua naikubali oryx pekeangu. nimeshangaa kuona wengi wa wachangiaji wanaikibali. nimejifunza kitu kupitia uzi wako![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja na mimi nimjaribu Manji,akinifaa sibadili milele.
Kwa sifa hizi basi Orxy wako vizuri aiseee...mnaelekea kunishawishi
[emoji12][emoji12][emoji12]
hahahaaa leo utaijua hii kampuni mkuu!!!Jamani [emoji134]mmetumwa kuisifia hii kampuni nini?
Mbona mwantisha?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
my pleasure mkuu!! pamoja sana!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu nimecheka sana,sana.
You made my night...
Thank you [emoji11]
Yarabiiiiiiii![emoji134]Eti mchana mchana watu wanafanya mazoezi ya kupiga mabomu acha watu watimke!! Watu ndio wamepandishwa hasira zaidi.
Confused [emoji56] [emoji56]Oryx ni nzur sana
Niliwah tumia Manjis ckuipenda kabisaa
Nkarud Oryx
Mie nilitumia manjis mara moja,ni nzuri sana kuliko Oryx
Kwa nielewavyo, muda wa kwisha gesi inategemea na matumizi... kama uzito wa gesi ni sawa sioni kingine kitakachoimaliza gesi zaidi ya matumizi... I STAND TO BE CORRECTEDHabari za wakati wakuu?
Natumai wengi wetu huku tunatumia gesi kama nishati majumbani mwetu.
Takribani mwezi sasa nimekuwa nikiumiza kichwa kwa uamuzi niliouchukua wa kubadili aina ya gesi ninayotumia nyumbani.
Hapo mwanzo nilikuwa natumia gesi kutoka kampuni ya Lake,kwa mtungi mdogo (15 kg) niliweza kudumu nayo takribani miezi mitatu.
Mtungi huo nilianza kuutumia mnamo mwezi wa 4 hadi ilipoisha July katikati.
Nilipata ushawishi wa kuhama kampuni ya Lake na kuhamia Mihan kutoka kwa ndugu yangu wa karibu aliyenishawishi kuwa Mihan inadumu zaidi.
Baada ya kubadili najuta kwani mambo siyo kabisa,gesi hii inakwisha haraka sana.
Niliujaza mtungi huu mwezi jana tarehe 5 lakini kwa uzoefu wangu hapa ulipofikia haitopita wiki haijaisha!
Mwanzo kabisa nilikuwa natumia CAM Gas mtungi wa kg 30 (kwa jiko la plate 3).Kiukweli hii nilikuwa nadumu nayo miezi mitano na zaidi.
Lakini kwa hali ya kiuchumi ilivyobadilika nikaamua kutumia hii mitungi midogo lakini naona hali siyo.
Naomba tushauriane kwa uzoefu ipi gesi nzuri kiuchumi? Maana gesi hii kuisha ndani ya mwezi mmoja kumenishangaza.
Note
Sina lengo la kuiharibia biashara kampuni yoyote,zaidi nataka tupeane mawazo ya gesi ipi itakayoendana na hali halisi ya sasa,asanteni.
Wasalaam,
Nifah
nilijua naikubali oryx pekeangu. nimeshangaa kuona wengi wa wachangiaji wanaikibali. nimejifunza kitu kupitia uzi wako!
Oryx tupo wengiConfused [emoji56] [emoji56]
Sijui nimuamini nani.
Nimewavulia kofia...[emoji119][emoji119]Orxy ni gas ya Taifa.hahahaaa leo utaijua hii kampuni mkuu!!!
Nafikiri ubora wa oryx ni urahisi katika upatikanaji pamoja na zile security valves...kwa sasa natumia Oryx lakini haikai muda mrefu kama ilivyokuwa kwa Manjis.Confused [emoji56] [emoji56]
Sijui nimuamini nani.
Negative mind [emoji108]Tunaopikia asante kuwaka jua msituni tukapona tutasima comments mbili tatu kucheki wamejibu nini nakurudi hiyo....iko poa keyboard bahna[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oryx tupo wengi
Kwa hyo tuamini
Wanasemaga wengi wape
Habari za wakati wakuu?
Natumai wengi wetu huku tunatumia gesi kama nishati majumbani mwetu.
Takribani mwezi sasa nimekuwa nikiumiza kichwa kwa uamuzi niliouchukua wa kubadili aina ya gesi ninayotumia nyumbani.
Hapo mwanzo nilikuwa natumia gesi kutoka kampuni ya Lake,kwa mtungi mdogo (15 kg) niliweza kudumu nayo takribani miezi mitatu.
Mtungi huo nilianza kuutumia mnamo mwezi wa 4 hadi ilipoisha July katikati.
Nilipata ushawishi wa kuhama kampuni ya Lake na kuhamia Mihan kutoka kwa ndugu yangu wa karibu aliyenishawishi kuwa Mihan inadumu zaidi.
Baada ya kubadili najuta kwani mambo siyo kabisa,gesi hii inakwisha haraka sana.
Niliujaza mtungi huu mwezi jana tarehe 5 lakini kwa uzoefu wangu hapa ulipofikia haitopita wiki haijaisha!
Mwanzo kabisa nilikuwa natumia CAM Gas mtungi wa kg 30 (kwa jiko la plate 3).Kiukweli hii nilikuwa nadumu nayo miezi mitano na zaidi.
Lakini kwa hali ya kiuchumi ilivyobadilika nikaamua kutumia hii mitungi midogo lakini naona hali siyo.
Naomba tushauriane kwa uzoefu ipi gesi nzuri kiuchumi? Maana gesi hii kuisha ndani ya mwezi mmoja kumenishangaza.
Note
Sina lengo la kuiharibia biashara kampuni yoyote,zaidi nataka tupeane mawazo ya gesi ipi itakayoendana na hali halisi ya sasa,asanteni.
Wasalaam,
Nifah
Habari za wakati wakuu?
Natumai wengi wetu huku tunatumia gesi kama nishati majumbani mwetu.
Takribani mwezi sasa nimekuwa nikiumiza kichwa kwa uamuzi niliouchukua wa kubadili aina ya gesi ninayotumia nyumbani.
Hapo mwanzo nilikuwa natumia gesi kutoka kampuni ya Lake,kwa mtungi mdogo (15 kg) niliweza kudumu nayo takribani miezi mitatu.
Mtungi huo nilianza kuutumia mnamo mwezi wa 4 hadi ilipoisha July katikati.
Nilipata ushawishi wa kuhama kampuni ya Lake na kuhamia Mihan kutoka kwa ndugu yangu wa karibu aliyenishawishi kuwa Mihan inadumu zaidi.
Baada ya kubadili najuta kwani mambo siyo kabisa,gesi hii inakwisha haraka sana.
Niliujaza mtungi huu mwezi jana tarehe 5 lakini kwa uzoefu wangu hapa ulipofikia haitopita wiki haijaisha!
Mwanzo kabisa nilikuwa natumia CAM Gas mtungi wa kg 30 (kwa jiko la plate 3).Kiukweli hii nilikuwa nadumu nayo miezi mitano na zaidi.
Lakini kwa hali ya kiuchumi ilivyobadilika nikaamua kutumia hii mitungi midogo lakini naona hali siyo.
Naomba tushauriane kwa uzoefu ipi gesi nzuri kiuchumi? Maana gesi hii kuisha ndani ya mwezi mmoja kumenishangaza.
Note
Sina lengo la kuiharibia biashara kampuni yoyote,zaidi nataka tupeane mawazo ya gesi ipi itakayoendana na hali halisi ya sasa,asanteni.
Wasalaam,
Nifah
Yeah...Orxy ni kampuni kongwe kabisa.Imejiimarisha kibiashara kiasi kwamba upatikanaji wake ni rahisi.Nafikiri ubora wa oryx ni urahisi katika upatikanaji pamoja na zile security valves...kwa sasa natumia Oryx lakini haikai muda mrefu kama ilivyokuwa kwa Manjis.