poorbillionaire
JF-Expert Member
- Mar 4, 2014
- 424
- 239
Ikiisha nenda unakojaza gesi ongea nao kuwa unataka mihan watakubadilishia mtungi watakupa wa mihan.
Mimi nilifanya hivyo.
Za kuambiwa changanya na zako.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiisha nenda unakojaza gesi ongea nao kuwa unataka mihan watakubadilishia mtungi watakupa wa mihan.
Mimi nilifanya hivyo.
Maelezo mengine ni kudanganyana huwezi kwenda na mtungi wa oryx wakujazie mihan maana hata zile regulator ni tofauti. Labda kitu unachoweza kufanya ni kuongea na wakala kama anatoa huduma kwa kampuni zote 2 akubadilishie.
Mkuu tukisema akujazie hatumaanishi unajaziwa pale kama tairi la gari....mitungi inakuwa ishajazwa...unachofanya unaongea na wakala akubadilishie kama atakubali ,mimi binafsi nishabadilisha kutoka orxy nikaomba kupewa mihan na imekubali kukonect na jiko langu...
Nafikiri hatujaelewana na masuala ya utumiaji wa gas nayajua japo si kwa kiwango kikubwa. Maana yangu ilikuwa, uwezi kumpa wakala wa oryx mtungi wa mihan akubadilishie/akujazie isipokuwa huyo wakala awe anatoa huduma kwa kampuni zote 2.
Za kuambiwa changanya na zako.....
Nilipokuwa Bachelor, nlikuwa nkitumia 15Kgs mara mbili tu kwa Mwaka na Miezi kama 3.
Ila nlipokuja kuoa, ndo nkajua matumizi sahihi ya Gas. Obvious kwa Familia yenye Watu7, na kama asubuhu watapika Breakfast/Mchana Lunch/Jion wakaanda Dinner, Basi hiyo Gas itaweza kudumu kwa Siku 40(Plus or Minus 2dayz)
Kinachoweza kuchangia pia kuisha haraka kwa Gas ni Aina ya jiko unalotumia.kuna baadh ya Majiko yale Matundu yake ni Makubwa kwa ajili ya kuchochea Moto Mkali. Ni dhahiri lazima iishe Mapema ukiwa na jiko kama hili.
Majiko mengine Vitundu vyake ni vidogo na hupitisha Moto Mdogo hadi(18grams per/hr)
taarifa hyo ipo sehem gan, user manual au kwenye jiko lenyewe?
Mi mwanzo nilikuwa na jiko la plate 2.
Lina moto mkali sana. Lilikuwa linafaa sana kwa mapishi ya chips.
Nikaona limechakaa kidogo nikaamua ninunue lingine kwa maana ya kuboresha jikoni kwangu.
Nikanunua lenye plate 4.
Yaani moja umeme matatu gas na chini oven. Ndipo niliposhangaa.
Moto ni mdogo sana hata flame zake ni za blue badala ya njano iliyokuwepo kwenye jiko la awali
Lakini nikagundua pia kuwa gas inadumu sana.
Nilinunua pale Mlimani city kuna duka kuuubwa la mawakala wa Hot Point na Sumsung kama sikosei. Manake ni muda kama miaka mitatu ilopita likini halijachunika wala kusumbua.
Na kuhusu kubadilisha mtungi inategemea na mtaji wa muuzaji.
Wenye mitaji midogo huwa hawakubali.
Tena husingizia haiwezekani. Ili ukute tamaa.
Kwasasa natumia Lake gas.
Ni cheap kuliko kampuni zote kwa muda kidogo.
Halafu nimesikia TETESI kuwa oryx ina ubia na Lake. Na kwamba wanataka kuiua oryx ibaki Lake.
Sijui kuna ukweli hapo.
Tujuzane.
kama unachemshia chai tu unafikiri utaisha na leo?Kwangu mm mihan n nzur....nimenunua mtung wa kg30 tang mweZ wa 1 mpaka Sasa nadunda na sion dalili ya kuisha mweZ huu wala ujao.....
kama unachemshia chai tu unafikiri utaisha na leo?
wacha wewe kwa hiyo unatumia mtungi wa kilo 30 mpaka miezi sita? du wewe mtaalamu kweli kweli. Sawa bwana nimekubali.Mi Ni mwanamke sishindii chai....napika Mara mbil kwa siku au sometyms once per day.....pia Hayo n matumiz yang so kama hukubalian na mm better ukatoa experience yako ww
Mwaka jana nlinunua jiko la Oryx lenye infrared gas stove ni zuri sana mana hautuimii gas nying kuna mahali uanpunguza gas inatok kidog na hakua kinaiva vizuri.ukitaka majiko mazuri ya gas nunua aina/ toka kampuni za Geepas,Saachi na zaidi nunua Infrared gas stove za kampuni husika hapo juu.Bei Tsh 140,00-125,000 plate mbili.