Tujuzane na kushauriana ipi gesi bora kwa matumizi ya nyumbani

Tujuzane na kushauriana ipi gesi bora kwa matumizi ya nyumbani

Hi

Hivi kati ya Manjis, Orxy, Mihani na Oranges. Ni ipi gas nzuri na yenye gharama nafuu inayofaa kupikia majumbani?
Chukua mihani mkuu, iko poa hata bei yake ni poa tu , pia sijawahi nunua mihan iliyochakachuliwa, zaman nilikuwa natumia orxy nikaachana nayo coz wachakachuaji ni wengi wa mitungi hiyo
 
mi nasikiaga hawa wote wanachukua ktk sehem moja
 
Chukua mihani mkuu, iko poa hata bei yake ni poa tu , pia sijawahi nunua mihan iliyochakachuliwa, zaman nilikuwa natumia orxy nikaachana nayo coz wachakachuaji ni wengi wa mitungi hiyo
Pamoja Mkuu
 
Tbs Wanahusika Tuliambiwa Ukiona Log Ya Ubora Basi Kitu Hicho Ni Bora
 
Hi

Hivi kati ya Manjis, Orxy, Mihani na Oranges. Ni ipi gas nzuri na yenye gharama nafuu inayofaa kupikia majumbani?

Hivi ile ambayo huwa tunaitoa wakati tunapumua Kibaiolojia ( tunajamba ) ambayo hutoka taratibu nayo siyo Gesi? Kama ni Gesi basi nadhani ile ndiyo bora zaidi Mkuu.
 
Hizo zote ni LPG yaani Liquefied Petroleum Gas. Hizi ni flammable hydrocarbon gas ambazo ni propane na butane au mchanganyiko wa gas hizo. Suala la ubora makampuni yote yako karibu sawa ila kuna makampuni waweka ujazo wa chini kidogo ili waonekane kuwa bei za bidhaa za ni rahisi kuliko nyingine [Huu ni wizi]
 
Mimi huwa naangalia itayopatikana jirani yangu ndio hiyo hiyo!
 
Back
Top Bottom