Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Hii mada imekaa kipuuzi sana. Na pia nashangaa sijui kwann watu wanaichangia kwa kutoa majibu ya moja kwa moja wakati justificatins ni nyingi
Gesi inaisha kutokana na matumizi yako na ufanisi ( Efficiency) ya miundombinu yako kama jiko (Burner), regulator na pipe fittings.
Ila gesi yote ni moja tuu. Kila kampuni inanunia in bulk ( Kwa jumla) na kuiweka kwenye container (Mitungi) na kuuza rejareja.
Sasa ww unataka gesi amabayo haiishi haraka sijui tukujibuje, unadhani gesi za LPG ni kama Kuni ?