Tujuzane na kushauriana ipi gesi bora kwa matumizi ya nyumbani

Kama huelelewi kaa kimya. Ww unaechukulia positive mwambie sasa gesi gani inakaa sana
Mara nyingi watu wenye hulka kama hizi za kuchukulia mambo kwa upande wa hasi tu wanakuaga na matatizo ya stress za kimaisha
Yaani wao kila kitu wanaona ujinga na taabu tu

Yaani mjadala elimu safi we unaona watu wanajadili upuuzi tu
 
pole unatumia kiberiti cha kawaida tu, (flame)
ile hewa inayotoka ikipata flame inawaka jaribu kukisafisha hicho kichwa kwanza hasa kwenye yale matundu kwa brush wire na sabuni kikauka washa tena.
au nunua kingine hakivuki 10,000/
 
Broo suala la gesi kuisha ni mtambuka. Kama ww una jibu mtajie iyo brand ambayo haiishi. Mtu kununua mtungi ambao haujajaa ni upumbavu wake
 
Hapo ndo linakuja suala la marketing. Ila gesi ni moja. Suala la ku8sha haraka halina majibu hata siku moja
Acha watu wajadili naona wewe huioni tofauti hata ya bei na ubora ingawa uzito upo sawa
MIHAN ni bora na bei ya kueleweka
tumia Mihan
 
Noted mkuu
 
Kama huelelewi kaa kimya. Ww unaechukulia positive mwambie sasa gesi gani inakaa sana
Ujinga ni kudhani kila mtu anajua kama unavyo jua wewe

Haihitaji digirii kujua anayeuliza kitu maana yake hajui
Sasa badala ya kumjulisha unaanza dharau na kuona watu wanaojadili wajinga

Hivi ninyi watu mpoje lakini

Hata mimi nilikua sijui haya yote lakini sasa nimejua kumbe gass ni ileile isipokua vifaa kama majiko mipira nk vinaweza kisaidia kupunguza ulaji wa gass
 
Hapo ndo linakuja suala la marketing. Ila gesi ni moja. Suala la ku8sha haraka halina majibu hata siku moja
Broo suala la gesi kuisha ni mtambuka. Kama ww una jibu mtajie iyo brand ambayo haiishi. Mtu kununua mtungi ambao haujajaa ni upumbavu wake
Sasa COROMA imeingia vichwani mwa watu,
mara brand gani mara kuisha
Corona itaisha yenyewe tunazungumzia gas LPG
 
unatumia jiko gan mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…