Tujuzane sehemu za bata zinazobamba kwa sasa Dar

Tujuzane sehemu za bata zinazobamba kwa sasa Dar

Imebidi niusome uzi wote maana tangu nimetoka dar namiss sana viwanja. Huku nilipo (moshi) naishia kwenda hugos garden kula mbuzi kitunguu, kilihome, mekuz na kiwanja cha nyumbani half london kcmc basi. Itabidi soon nirudi mjini kula kamshange za kutosha
 
Tips
Extra mile
Triple 7
La chaz
Waungwana
Golden j
Hangover
Mebs
The great park
Bl park
La staza
Helement
Hood Mont
Nk
 
Back
Top Bottom