Tujuzane sehemu za bata zinazobamba kwa sasa Dar

kuna mshkaji ana kaumbo kadogo ameweka ndani ile....wala hana mapene ila wamefika.....u never know with woman
Watoto wa mjini mna maneno mpka kuna free stress aisee ,umenichekesha[emoji2][emoji2][emoji14][emoji38]
 
Mtaje pia sehemu zipo maeneo gani kama tips ipo masaki au sinza au mbagala
 
Tatizo ukienda mida ya wanga unaweza kukosa hata pa kusimama
Pale mtu anatakiwa aende mapema. Last weekend nimeenda saa tisa kasoro mziki umezimwa ila kumejaaaaa hata sisimizi hapiti
 
Nilipita pale saa saba nikakuta hapafai nikaenda zangu Havoc, huko nako mtu moja akatuharibia mahesabu tukajikuta tunaenda kulala midaa ya saa 11 asubuhi
 
Aliwafanya nini?
Tulifika pale tukiwa wanne. kulingana na vyuma kukaza tukaona tukinywa bia tutatoboka ile mbaya tukaamua kuagiza Black Lebel Chupa. e bwanae kunamdada moja akatokea anafahamiana na rafiki yetu moja. Alikaribishwa whisky akakataa basi mwenyeji wake akamwambia aagize anacho kunywa. huwezi amini mwanadada aliagiza wine chupa ambayo bei yake ni laki 1. ilibidi kwanza tuitane pembeni. alipoagiza ya pili pozi likaanza kutuishia, mi nikaanza na kusikia usingizi....
 
Aliwanyoosha. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yule ni kiboko. Hivi kwa nini mko hivyo. Yaani unaweza kujikuta unajitengenezea mazingira ya watu kukukwepa. Ebo
Uswahili tu huo. Chupa moja ingemtosha ukizingatia ni bei. Huyo ndo wale wanaojikuta slay queens wakati hata kujinunulia glass moja ya wine hawawezi.
 
Tulifika pale tukiwa wanne. kulingana na vyuma kukaza tukaona tukinywa bia tutatoboka ile mbaya tukaamua kuagiza Black Lebel Chupa. e bwanae kunamdada moja akatokea anafahamiana na rafiki yetu moja. Alikaribishwa whisky akakataa basi mwenyeji wake akamwambia aagize anacho kunywa. huwezi amini mwanadada aliagiza wine chupa ambayo bei yake ni laki 1. ilibidi kwanza tuitane pembeni. alipoagiza ya pili pozi likaanza kutuishia, mi nikaanza na kusikia usingizi....
Hahaaaaa...umemaliza siku yangu vizuri. Inaweza kuwa ni Mzigua90 halafu anakuchora tu hapa!!
 
Back
Top Bottom