Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,767
haya...niko nasubiria 🙂Siku nikija tena Tabata mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya...niko nasubiria 🙂Siku nikija tena Tabata mkuu
Watoto wa mjini mna maneno mpka kuna free stress aisee ,umenichekesha[emoji2][emoji2][emoji14][emoji38]kuna mshkaji ana kaumbo kadogo ameweka ndani ile....wala hana mapene ila wamefika.....u never know with woman
hahahaha safi sana mkuuHaya tunazimua wapi?mchana tupate kitimoto rost na ugali mkubwaaa
Sawa.haya...niko nasubiria 🙂
Havoc mahala pake, that is my favorite spot for now.Tips
Havoc
Bucket
Truth
Golden J wameanza kujirudisha tena
Elements
Hangover (sio sana)
La Stanza - Goba
Tatizo ukienda mida ya wanga unaweza kukosa hata pa kusimamaPanazidi kubamba tuu..
Heheheee. Siku nipeleke mchana maana nilipaenda mara moja na nilikua niko vizuri hata sikuenjoyHavoc mahala pake, that is my favorite spot for now.
Pale mtu anatakiwa aende mapema. Last weekend nimeenda saa tisa kasoro mziki umezimwa ila kumejaaaaa hata sisimizi hapitiTatizo ukienda mida ya wanga unaweza kukosa hata pa kusimama
Nilipita pale saa saba nikakuta hapafai nikaenda zangu Havoc, huko nako mtu moja akatuharibia mahesabu tukajikuta tunaenda kulala midaa ya saa 11 asubuhiPale mtu anatakiwa aende mapema. Last weekend nimeenda saa tisa kasoro mziki umezimwa ila kumejaaaaa hata sisimizi hapiti
Aliwafanya nini?Nilipita pale saa saba nikakuta hapafai nikaenda zangu Havoc, huko nako mtu moja akatuharibia mahesabu tukajikuta tunaenda kulala midaa ya saa 11 asubuhi
Tulifika pale tukiwa wanne. kulingana na vyuma kukaza tukaona tukinywa bia tutatoboka ile mbaya tukaamua kuagiza Black Lebel Chupa. e bwanae kunamdada moja akatokea anafahamiana na rafiki yetu moja. Alikaribishwa whisky akakataa basi mwenyeji wake akamwambia aagize anacho kunywa. huwezi amini mwanadada aliagiza wine chupa ambayo bei yake ni laki 1. ilibidi kwanza tuitane pembeni. alipoagiza ya pili pozi likaanza kutuishia, mi nikaanza na kusikia usingizi....Aliwafanya nini?
Aliwanyoosha. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tulifika pale tukiwa wanne. kulingana na vyuma kukaza tukaona tukinywa bia tutatoboka ile mbaya tukaamua kuagiza Black Lebel Chupa. e bwanae kunamdada moja akatokea anafahamiana na rafiki yetu moja. Alikaribishwa whisky akakataa basi mwenyeji wake akamwambia aagize anacho kunywa. huwezi amini mwanadada aliagiza wine chupa ambayo bei yake ni laki 1. ilibidi kwanza tuitane pembeni. alipoagiza ya pili pozi likaanza kutuishia, mi nikaanza na kusikia usingizi....
Yule ni kiboko. Hivi kwa nini mko hivyo. Yaani unaweza kujikuta unajitengenezea mazingira ya watu kukukwepa. EboAliwanyoosha. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Uswahili tu huo. Chupa moja ingemtosha ukizingatia ni bei. Huyo ndo wale wanaojikuta slay queens wakati hata kujinunulia glass moja ya wine hawawezi.Yule ni kiboko. Hivi kwa nini mko hivyo. Yaani unaweza kujikuta unajitengenezea mazingira ya watu kukukwepa. Ebo
Umeona eeeUswahili tu huo. Chupa moja ingemtosha ukizingatia ni bei. Huyo ndo wale wanaojikuta slay queens wakati hata kujinunulia glass moja ya wine hawawezi.
Tuzoeeni tu dada zenu wa Dar lakini.Umeona eee
Hahaaaaa...umemaliza siku yangu vizuri. Inaweza kuwa ni Mzigua90 halafu anakuchora tu hapa!!Tulifika pale tukiwa wanne. kulingana na vyuma kukaza tukaona tukinywa bia tutatoboka ile mbaya tukaamua kuagiza Black Lebel Chupa. e bwanae kunamdada moja akatokea anafahamiana na rafiki yetu moja. Alikaribishwa whisky akakataa basi mwenyeji wake akamwambia aagize anacho kunywa. huwezi amini mwanadada aliagiza wine chupa ambayo bei yake ni laki 1. ilibidi kwanza tuitane pembeni. alipoagiza ya pili pozi likaanza kutuishia, mi nikaanza na kusikia usingizi....