Ahahaaa hamkuacha boxer?Tulifika pale tukiwa wanne. kulingana na vyuma kukaza tukaona tukinywa bia tutatoboka ile mbaya tukaamua kuagiza Black Lebel Chupa. e bwanae kunamdada moja akatokea anafahamiana na rafiki yetu moja. Alikaribishwa whisky akakataa basi mwenyeji wake akamwambia aagize anacho kunywa. huwezi amini mwanadada aliagiza wine chupa ambayo bei yake ni laki 1. ilibidi kwanza tuitane pembeni. alipoagiza ya pili pozi likaanza kutuishia, mi nikaanza na kusikia usingizi....
hilo ni suala gumu sana maana tulikuwa tuko vizuri sema hatukutaka kuchezea ndururuAhahaaa hamkuacha boxer?
SweetAhahaaa hamkuacha boxer?
Niambie loveSweet
Safi tu , I was thinking about you this timeNiambie love
Yaan yule dada ni hatari kuna rafiki yangu nilikaa nae pale akajikuta ananunua popcorn bila kupenda[emoji23][emoji23][emoji23]Anauza popcorn kuliko bia
Niambie love
Hii kali ya kufungia mwaka...Tulifika pale tukiwa wanne. kulingana na vyuma kukaza tukaona tukinywa bia tutatoboka ile mbaya tukaamua kuagiza Black Lebel Chupa. e bwanae kunamdada moja akatokea anafahamiana na rafiki yetu moja. Alikaribishwa whisky akakataa basi mwenyeji wake akamwambia aagize anacho kunywa. huwezi amini mwanadada aliagiza wine chupa ambayo bei yake ni laki 1. ilibidi kwanza tuitane pembeni. alipoagiza ya pili pozi likaanza kutuishia, mi nikaanza na kusikia usingizi....