Tujuzane sehemu za bata zinazobamba kwa sasa Dar

Tulifika pale tukiwa wanne. kulingana na vyuma kukaza tukaona tukinywa bia tutatoboka ile mbaya tukaamua kuagiza Black Lebel Chupa. e bwanae kunamdada moja akatokea anafahamiana na rafiki yetu moja. Alikaribishwa whisky akakataa basi mwenyeji wake akamwambia aagize anacho kunywa. huwezi amini mwanadada aliagiza wine chupa ambayo bei yake ni laki 1. ilibidi kwanza tuitane pembeni. alipoagiza ya pili pozi likaanza kutuishia, mi nikaanza na kusikia usingizi....
Ahahaaa hamkuacha boxer?
 
Nani yuko 40/40 Tabata sasa hv tujuzane tuzungushe round
 
Eneo langu la kula bata ni pale manzese darajani. Huwa natulia pale na vikaranga vyangu viwili vya mia mia nakula weeee huku napunga upepo,vikiisha nashuka zangu taratibu ili nisijikwae kuelekea home
 
Tulifika pale tukiwa wanne. kulingana na vyuma kukaza tukaona tukinywa bia tutatoboka ile mbaya tukaamua kuagiza Black Lebel Chupa. e bwanae kunamdada moja akatokea anafahamiana na rafiki yetu moja. Alikaribishwa whisky akakataa basi mwenyeji wake akamwambia aagize anacho kunywa. huwezi amini mwanadada aliagiza wine chupa ambayo bei yake ni laki 1. ilibidi kwanza tuitane pembeni. alipoagiza ya pili pozi likaanza kutuishia, mi nikaanza na kusikia usingizi....
Hii kali ya kufungia mwaka...
 
Aliyeko micasa ya ubungo saa hii tujuane maana hili buzuki si mchezo
 
Back
Top Bottom