hahaha[emoji23][emoji28][emoji23]Wabongo bhana! Wakibanana kwenye dala dala wanalalamika, wakibanana kwenye viwanja vya starehe, wanaburudika!
Ukiwa La stanza ni check tuje tubatike mama [emoji2]Tips
Havoc
Bucket
Truth
Golden J wameanza kujirudisha tena
Elements
Hangover (sio sana)
La Stanza - Goba
Mi naonaga aibu maana nakutanaga na watu wasiojua uchizi wangu na music.mbona unacheza tu pale, uki angle nzuri unasimama unajiachia tu....Dj akinigusa nilikua sijibani aisee nasimama nachezaa [emoji1]
Mie bado mdogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwenda kubanana na wazee sitaki. Napenda sehemu zenye mziki mzuri na watu wastaarabu ila sio ustaarabu wa wazee. Wazee mafisi sana ndo maana sipendagi kwenda maeneo yao.Wewe utakuwa unapenda sehemu za fujo fujo.nitakucheki saa moja.
Jumamosi naweza kuja hapo.Ukiwa La stanza ni check tuje tubatike mama [emoji2]
basi hata kampani yako nayo haifai hiyoMi naonaga aibu maana nakutanaga na watu wasiojua uchizi wangu na music.
Nenda governor kino pazuri sanaMie bado mdogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwenda kubanana na wazee sitaki. Napenda sehemu zenye mziki mzuri na watu wastaarabu ila sio ustaarabu wa wazee. Wazee mafisi sana ndo maana sipendagi kwenda maeneo yao.
Governers nahisi nimetuoiwa uchawi nisiende hapo. Marafiki zangu wooote woote wanaendaga hapo ila mimi wakishapataja tu narudi kulala.Nenda governor kino pazuri sana
Yule Dada wa popcorn la stanza bado yupo?Jumamosi naweza kuja hapo.
Kumekaa kisharo sanaGoverners nahisi nimetuoiwa uchawi nisiende hapo. Marafiki zangu wooote woote wanaendaga hapo ila mimi wakishapataja tu narudi kulala.
Usiijaribu kampani yangu mkuu utanogewa.basi hata kampani yako nayo haifai hiyo
sidhanii [emoji20]Usiijaribu kampani yangu mkuu utanogewa.
Buckets or LastanzaSalaam wakuu,
Uzi huu maalumu kwa sisi wapenda bata hata kama vyuma vimekaza, tunapambana na hali zetu na bata kama kawaida.
Sitaanza kwa kutaja kiwanja chochote kwa sasa, isionekane nafanya promo kwa yeyote, nawaachia nafasi, kutaja viwanja/Bar/Pub/Club ambazo kwa sasa zinabamba kwa huduma nzuri na bomba za Music, vinywaji, na maakuli, karibuni sana sana !!
Kajaa teleee na zigo lake la nyaaa....Yule Dada wa popcorn la stanza bado yupo?
Ule mzigo si mchezo. Halafu mtoto kaenda hewani, halafu hana mkorogo.Kajaa teleee na zigo lake la nyaaa....
Anauza popcorn kuliko biaKajaa teleee na zigo lake la nyaaa....