Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Halaf siamini kama we mzeeMie maisha club toka inaitwa mambo club o'bay , Ronies corner, bar one,asee enzi za bills ,watoto wa shami sisters, asee huu uzee acha niumalizie tips
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halaf siamini kama we mzeeMie maisha club toka inaitwa mambo club o'bay , Ronies corner, bar one,asee enzi za bills ,watoto wa shami sisters, asee huu uzee acha niumalizie tips
Nilivyp mvivu mm nitoke huku nilipo mpaka hukoHivi karibu na kwangu ndo maana sipati uvivu kuja.
Ahahaa majanga shosti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi mwenyewe mvivu mnoooo ila leo nilikua kwenye mood ya kutokaNilivyp mvivu mm nitoke huku nilipo mpaka huko
Kabisaaaa. Pa watoto yaaninaonaga maisha basement ni kwa wanaojifunza starehe
Nipe ramani ya Golden J.Nipo kwa John hapa karibu na Golden J
Tumia Google map my dear. Ni karibu sana na AfricanaNipe ramani ya Golden J.
Nataka kutoka home Africana..!
seacliffNenda See Creef kale upepo.
Nakuomba uaminiHalaf siamini kama we mzee
Njoo Goldeb J pamebamba hatari🙄🙄🙄🙂🙂🙂🙂
ndege mnana anafanya yake kweli enh?Njoo Goldeb J pamebamba hatari
Achana na Level 8 bwana njoo mbezi. Linah anaimba hapa. Najaribu kutuma picha simu inazinguandege mnana anafanya yake kweli enh?
ndo nataka nitoke sijui hata niende wapi maana nimetoka kuambiwa hata Level 8 pia pamenoga leo....sijui kisa bure😀😀
basi ngoja nianze safariAchana na Level 8 bwana njoo mbezi. Linah anaimba hapa. Najaribu kutuma picha simu inazingua
Karibuubasi ngoja nianze safari
sijawahi kupakubali hapo kabisa![]()
Acheni maneno njoo tufanye starehe