Tujuzane sehemu za bata zinazobamba kwa sasa Dar

Tujuzane sehemu za bata zinazobamba kwa sasa Dar

Mie bado mdogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwenda kubanana na wazee sitaki. Napenda sehemu zenye mziki mzuri na watu wastaarabu ila sio ustaarabu wa wazee. Wazee mafisi sana ndo maana sipendagi kwenda maeneo yao.
Shost ntajie viwanja vya wazee hapa dar vyenye band nzurii nnashida na wazee mie
 
Back
Top Bottom