dojonase
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 1,692
- 2,312
We utakuwa unawajua vibaka walio nikaba hpo mulaaaEneo langu la kula bata ni pale manzese darajani. Huwa natulia pale na vikaranga vyangu viwili vya mia mia nakula weeee huku napunga upepo,vikiisha nashuka zangu taratibu ili nisijikwae kuelekea home
Sent using Jamii Forums mobile app