kijana paul
Member
- Jul 17, 2014
- 91
- 6
fanya hiyo second selection
Kijana fanya eaachokuelekeza....
kwahiyo hakuna option zaidi ya hiyo.. yaani hawajakupa kozi nyingine ..kama wamekupa nitajitie kumi mi ntakujia kozi ya kujaza...Yan ndugu sijaonA tenA coz ya kujaza na nimeshakata TamaA
Nadhani taarifa hii inaweza kukusaidia pia.Jaman wana javi m ni mhanga Wa 2nd selection. baada ya awamu ya kwanza kuambiwa kuwa sikuwa selected nilipewa chance ya kuchagua tena coz na Chuo ambazo zilikuwa zimebaki. Jana mida ya saa 5 ivi nilichagua coz ya bachelor of medcn& bsc f surgery Chuo Kampala university nikaletewa fdback kuwa nimekuwa selected. Sasa Iv nafungua akaut angu naambiwa et sijAwa selected vivo nifanye 2nd selection. Mwenzenu APA nilipo nipo hoi naomben ushaur nifanyeje & y imekuwa hivyo
. Mawazo yenu ni mhimu sana kwangu
fanya hiyo second selection
Yan ndugu sijaonA tenA coz ya kujaza na nimeshakata TamaA
chagua kozi..mapema..upate nafasi mapema
Nadhani taarifa hii inaweza kukusaidia pia.
Kuna watu wengi tu imewatokea hivyo,walioenda ofisi za TCU waliambiwa ni malfunction iliyotokea katika systems zao ndo ilisababisha hilo tatizo.
Wamepewa fomu za kujaza,kuelezea tatizo na ina sehemu pia ya kujaza course codes.Wameambiwa mpaka kufikia jumatatu tatizo litakuwa solved.