Tujuzane status za account zetu TCU

Tujuzane status za account zetu TCU

kijana paul

Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
91
Reaction score
6
Jamani naomba mnijuze ili niweze kumsaidia dogo wangu. Hivi kwenye hii second round application wale wa kwanza kuomba ndo wanakua considered kwenye course fulani kwa sababu sikuna kuwa na available slots au inakuaje??
 
Jaman wana javi mimi ni mhanga Wa 2nd selection,

Baada ya awamu ya kwanza kuambiwa kuwa sikuwa selected nilipewa chance ya kuchagua tena coz na Chuo ambazo zilikuwa zimebaki. Jana mida ya saa 5 ivi nilichagua coz ya bachelor of medcn & bsc f surgery Chuo Kampala university nikaletewa fdback kuwa nimekuwa selected.

Sasa Iv nafungua akaut angu naambiwa et sijAwa selected vivo nifanye 2nd selection. Mwenzenu APA nilipo nipo hoi naomben ushaur nifanyeje & y imekuwa hivyo?

Mawazo yenu ni mhimu sana kwangu.
 
Jaman wana javi m ni mhanga Wa 2nd selection. baada ya awamu ya kwanza kuambiwa kuwa sikuwa selected nilipewa chance ya kuchagua tena coz na Chuo ambazo zilikuwa zimebaki. Jana mida ya saa 5 ivi nilichagua coz ya bachelor of medcn& bsc f surgery Chuo Kampala university nikaletewa fdback kuwa nimekuwa selected. Sasa Iv nafungua akaut angu naambiwa et sijAwa selected vivo nifanye 2nd selection. Mwenzenu APA nilipo nipo hoi naomben ushaur nifanyeje & y imekuwa hivyo
. Mawazo yenu ni mhimu sana kwangu
Nadhani taarifa hii inaweza kukusaidia pia.

Kuna watu wengi tu imewatokea hivyo,walioenda ofisi za TCU waliambiwa ni malfunction iliyotokea katika systems zao ndo ilisababisha hilo tatizo.

Wamepewa fomu za kujaza,kuelezea tatizo na ina sehemu pia ya kujaza course codes. Wameambiwa mpaka kufikia jumatatu tatizo litakuwa solved.
 
yaani kama anasifa kwenye kozi husika akiichagua ndo ameshachaguliwa kama hana sifa system itamtema hapohapo na kumwambia ajaribu kuchagua nyingine. Kumbuka option ya kozi ni moja tu ukichagua vibaya inakula kwako hamna kudelete
 
Nadhani taarifa hii inaweza kukusaidia pia.
Kuna watu wengi tu imewatokea hivyo,walioenda ofisi za TCU waliambiwa ni malfunction iliyotokea katika systems zao ndo ilisababisha hilo tatizo.
Wamepewa fomu za kujaza,kuelezea tatizo na ina sehemu pia ya kujaza course codes.Wameambiwa mpaka kufikia jumatatu tatizo litakuwa solved.

kwa walio mkoani sijui itakuwaje majangaa
 
Yan ndugu sijaonA tenA coz ya kujaza na nimeshakata TamaA

Acha utoto, just do what you have been instructed to do! Jaza tena acha utoto. Hiyo ni kwa faida yako, kukata tamaa hakukusaidii lolote. JAZA TENA, JAZA TENA
 
Nadhani taarifa hii inaweza kukusaidia pia.
Kuna watu wengi tu imewatokea hivyo,walioenda ofisi za TCU waliambiwa ni malfunction iliyotokea katika systems zao ndo ilisababisha hilo tatizo.
Wamepewa fomu za kujaza,kuelezea tatizo na ina sehemu pia ya kujaza course codes.Wameambiwa mpaka kufikia jumatatu tatizo litakuwa solved.

kwa walio mkoani sijui itakuwaje majangaa
 
the same to me na kozi zilizobaki nyingi ni za arts na hata za science zilizobaki hazina mkopo yaani hata education hawajatuachia sasa utajaza tu kozi zisizo na mkopo au nyingine za private na ada zao ni kubwa......... du kukata tamaa nje nje watoto wa wakulima au nifunge safari kwenda dar kwenye ofisi zao,, USHAURI WENU WANAJAMVI
 
Funga safari watimbie dar..kwenye ofisi zao kuna marafiki zangu hyo k2 imewakuta soo ww watimbie kabla ya dedline yao@kadabrah
 
Kweli mwanangu watimbie huko huko...haya maisha bwana....kusoma bila mkopo mateso sana
 
Back
Top Bottom