Tujuzane status za account zetu TCU

Tujuzane status za account zetu TCU

Nadhani taarifa hii inaweza kukusaidia pia.
Kuna watu wengi tu imewatokea hivyo,walioenda ofisi za TCU waliambiwa ni malfunction iliyotokea katika systems zao ndo ilisababisha hilo tatizo.
Wamepewa fomu za kujaza,kuelezea tatizo na ina sehemu pia ya kujaza course codes.Wameambiwa mpaka kufikia jumatatu tatizo litakuwa solved.

Thks kwa mana io kesho inabidi niende huko ofisi kwao sio
 
Hili tatizo limewapata wengi. Kuna mmoja ana ACD ya PCB ila kaachwa.

Wasiliana directly na admission office ya vyuo kama CUHAS. Wanashughulikia hilo tatizo.

Nasikia eti kuna mchezo mchafu huko TCU.
 
Hili tatizo limewapata wengi. Kuna mmoja ana ACD ya PCB ila kaachwa.

Wasiliana directly na admission office ya vyuo kama CUHAS. Wanashughulikia hilo tatiizo.

Nasikia eti kuna mchezo mchafu huko TCU.

YAn we achA tu ni shida!! Hakuna contact number
 
Nyingi ni hiz ambazo mkopo ni non priority afu ukizingatia kwetu ni masikin ndo mana nikasema kuwa sijAona ya kujAza

Kama kuna kozi za ardhi ni orodheshe ntakwambia au kama kuna science kozi nitajitie ntakushauri kozi ya kujaza based on experience ndio maana nikakwambia mention them..
 
kwahiyo hakuna option zaidi ya hiyo.. yaani hawajakupa kozi nyingine ..kama wamekupa nitajitie kumi mi ntakujia kozi ya kujaza...

bachelor science bussines infomation system kwel hii inafaa hasa ukizingatia soko la ajira?
au ukichaguliwa unaweza kubadilisha
 
bachelor science bussines infomation system kwel hii inafaa hasa ukizingatia soko la ajira?
au ukichaguliwa unaweza kubadilisha
Kozi nyingi za IT and computer related honest zinashida sana..ya ajira mtaani huu based na observation na experience mtaani ila
Kama ukipata opportunity ya ajira au kujiajiri ni kozi nzuri sana..
Kozi hiyo uzuri wake ni kwamba ni issue za mifumo ya IT na biashara..na ndio dunia inaenda..

USHAURI WANGU KWENU WOTE KWA YEYOTE AMBAYE AMEPATA OPTION YA SECOND SELECTION ARDHI UNIVERSITY AU CHUO CHOCHOTE ENGINEERING ACHAGUE HIZO KOZI KAMA ELECTRICAL MECHANICAL AU CIVIL AU CHUO CHA MAJI WDMI...
 
Tatizo coz walizonipA hAzina mkopo alafu most f zem ni za vyuo vya private
 
hata mm yamenikuta hata cjui nfanye nn mpka saiv nahc kchanganyikiwa
 
hata mm yamenikuta hata cjui nfanye nn mpka saiv nahc kchanganyikiwa
Poleni sana wadogo zangu! kwanza kabisa napenda nkujulishe waombaji zaid ya 90% wa 2nd round kwa mwaka wetu sisi 2011 hawakupata mkopo! Ushaur wangu ni huu, kwa kuwa umepewa nafas ya ku-apply tena, jaza tu.. huwezi jua! Bt ikitokea ukashindwa kupata mkopo jitathmini, can you do it without a public loan? If you are capable of atleast paying the school fee then go! Trust me, utatoboa tuu! Bt if u can't, don't go n hang yoself! Huo sio mwisho, u may postpone a year! Hairisha mwaka! Bt mwakan ucrudie makosa ya mwaka huu! Unajua kwa nn hujawa selected? Ulijaza coz maarufu kwa vyuo maarufu tu while you are not competent enough! Take my advice!
 
Kuahirisha mwaka nasikia mpaka uandike barua tcu kuna ukwel hapo ndugu?
Au unafuata process gan?
 
Hili tatizo limewapata wengi. Kuna mmoja ana ACD ya PCB ila kaachwa.

Wasiliana directly na admission office ya vyuo kama CUHAS. Wanashughulikia hilo tatizo.

Nasikia eti kuna mchezo mchafu huko TCU.

according to TCU wanasema preference will be given to candidate with C or above in chemistry and biology provided he /she have E in Physics.kwa anaetaka MD or pharmacy.
 
Wadau mimi nimeingia kwenye kibox cha application nikakuta hakuja andikwa tena ile SECOND ROUND hebu na wewe ingia alafu tuambizane kumeandikwaje?
 
Wadau mimi nimeingia kwenye kibox cha application nikakuta hakuja andikwa tena ile SECOND ROUND hebu na wewe ingia alafu tuambizane kumeandikwaje?

kijana mbona hujui kujieleza yaan topic haifanan habar yenyewe...
kwa nnavyo jua mm tulio 1st round tumeandikiwa tu u have been selected successfull hakukua na habar za 2nd round... nisawà umeweka kichwa cha scania kweny body ya nissan patrol.

uliza vizuri tena
 
juz nmefanya 2nd selection nikaambiwa selected kweny MEDICAL LAB muhmbil cha ajab jana naingia kwenye profile yangu nakta nmeambiwa nfanye 2nd selection ,kuangalia mambo ya kchagua yalyo bak kwa Science elimu kidogo ndoinamkopo japo na wenyew n kdogo bas nkachagua Education st.joseph campus ya Arusha nikakubaliwa, mm nmesoma CBG nakaufaulu kapo ivi BBB , ndoto zangu ilikuwa n kusomea mambo ya Afya eg-MEDICAL LAB, MD, Nursing etc, wanajamv naomba msaada wa mawazo kama kuna alternative ambayo naweza kfanya ili ndoto zang ztimie', mawazo yenu yna umuhm sana kwang
 
kijana mbona hujui kujieleza yaan topic haifanan habar yenyewe...
kwa nnavyo jua mm tulio 1st round tumeandikiwa tu u have been selected succusesfull hakukua na habar za 2nd round... nisawà umeweka kichwa cha scania kweny body ya nissan patrol.

uliza vizuri tena

hayo maneno uliyo sema YOU HAVE SUCCEFULLY SELECTED mimi kama mimi sijawahi kuyaona hapo kwenye kibox cha application bali nilikua nayakutaga kwenye my profile-VIEW MY SELECTION STATUS tena pale chini mwisho, sasa sijui kama wengine wanayakuta hayo maneno kwenye application icon labda mnijuze wakuu.
 
pole sana ndugu yangu, tatizo ndo linakuja hapo TCU inapotuchagulia vitu vya kusomea... me mwenyewe nilichaguliwa kusoma coz ambayo hata sikuwahi kuisikia lakini nikakubaki nikaisoma, nikafaulu vizuri sasa nasubiri kazi. Usivunjike moyo kasome tu kesho yako ipo mikononi mwa Mungu.
 
Back
Top Bottom